MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Unaipindua chupa kiaiiinaa,kisha unajidai"Ooh sorry baby imemwagikaa"
MPENZI wako anakutembelea
Home kwa
kushtukiza. mfukoni Una Mia sita
Tu, unaamua
kumchukulia cocacola moja ili
asione kama huna
kitu. Halafu
wewe unaamua kuchukua chupa
ya Sprite unajaza
maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile
chupa ya sprite (mpenzi wako
anadhani unakunywa soda) Wakati
mkiendelea
kunywa, uku mkiwa na furaha
mpenzi wako anakwambia
mbadilishane vinywaji.....
Ukiwa kama mjanja
UTAFANYAJE??
Nampa halafu namwambia hiyo ni Sprite toleo jipya kwa wasiopenda Soda zenye sukari......
Nampa halafu namwambia hiyo ni Sprite toleo jipya kwa wasiopenda Soda zenye sukari......
Nampa halafu namwambia hiyo ni Sprite toleo jipya kwa wasiopenda Soda zenye sukari......
Unaipindua chupa kiaiiinaa,kisha unajidai"Ooh sorry baby imemwagikaa"
hahahaha asante mkuu