Kama ww ni mjanja utafanya nini..

Kama ww ni mjanja utafanya nini..

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
MPENZI wako anakutembelea
Home kwa
kushtukiza. mfukoni Una Mia sita
Tu, unaamua
kumchukulia cocacola moja ili
asione kama huna
kitu. Halafu
wewe unaamua kuchukua chupa
ya Sprite unajaza
maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile
chupa ya sprite (mpenzi wako
anadhani unakunywa soda) Wakati
mkiendelea
kunywa, uku mkiwa na furaha
mpenzi wako anakwambia
mbadilishane vinywaji.....
Ukiwa kama mjanja
UTAFANYAJE??
 
Unaipindua chupa kiaiiinaa,kisha unajidai"Ooh sorry baby imemwagikaa"
 
MPENZI wako anakutembelea
Home kwa
kushtukiza. mfukoni Una Mia sita
Tu, unaamua
kumchukulia cocacola moja ili
asione kama huna
kitu. Halafu
wewe unaamua kuchukua chupa
ya Sprite unajaza
maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile
chupa ya sprite (mpenzi wako
anadhani unakunywa soda) Wakati
mkiendelea
kunywa, uku mkiwa na furaha
mpenzi wako anakwambia
mbadilishane vinywaji.....
Ukiwa kama mjanja
UTAFANYAJE??

mjanja wala asingepata shida ya kudanganya na maji kwenye chupa ya sprite. angemnunulia demu soda aitakayo yeye akanywa maji kwenye glass. kwani lazima wote mnywe soda??
 
Namwambia nimezimua na kinywaji kikali asichotumia
 
Mie kama mjanja namwambia mpenzi leo sina kitu, namia sita tu, najua kama yeye yuko fresh atasimamia show.... kisa cha kuteseka ivyo? kwani we unatengeneza pesa?
 
Utazuga kuwa kuna viroba na ni vikali sana hivyo akinywa kitakachompata asinilaumu
 
Namwambia situmii coca doctor alishanikatalia.
 
Nampa ila kwa tahadhari kwamba iko flat mpaka imepoteza na sukari. Asinilaum akiumwa tumbo
 
kwanini anitembelee home kwa kustukiza? nitamuacha hapo then nitamuambia nina appointment somewhere!
 
ukiwa mjanja demu wako hawezi kukutembelea ghafla!
 
ukiwa mjanja, lazima mpenzi wako ajue hali ya kiuchumi uliyokuwa nayo ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom