Kama wewe ungekuwa Dereva ungeweza?

Kama wewe ungekuwa Dereva ungeweza?

Mie wala nsinge hangaika, ningegeuza na kurudi nlipotoka.
 
Mie wala nsinge hangaika, ningegeuza na kurudi nlipotoka.

Mkuu inataka moyo na ujasiri na uzoefu, hasa kuujua vizuri huo mto/dimbwi na kina chake na speed ya maji...lakini ni risk sana kwa kweli!
 
Achilia mbali kuweza kwanza wala nisingethubutu ....
 
Mkuu inataka moyo na ujasiri na uzoefu, hasa kuujua vizuri huo mto/dimbwi na kina chake na speed ya maji...lakini ni risk sana kwa kweli!
Kina na speed ya maji ndio issue, lakini usisahau surface ya mto ikoje, ukikuta tope lenyewe itakuwa habari ingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom