Tatizo la ajira ni kubwa sana katika nchi yetu na dunia kwa ujumla. Lakini kuna kauli ambazo mimi binafsi huwa zinanikera sana kuzisikia kutoka kwa viongozi wetu na watu walioajiriwa. Utasikia mathalani mtu aliyeajiriwa au kiongozi wakisema mathalani: Ni aibu kwa msomi wa chuo kikuu kulalamika kuwa hana ajira, vijana wajiajiri, nk nk. Sasa swali la kujiuliza hapa ni hili. Huyu mtu kasomea kwa mfano ualimu. Sasa anajiajiri ki vipi? Anaanzisha shule? Mwingine kasomea udaktari. Je huyu anaanzisha dispensary?
Kinachokera ni kuwa utakuta anayesema wenzake wajiajiri yeye mwenyewe kaajiriwa au ni kiongozi kama mbunge, waziri au rais aliyeajiriwa na umma. Maana yake ni kuwa yeye mwenyewe ameshindwa kujiajiri ikabidi aajiriwe au aombe uongozi kama sehemu ya ajira yake. Watu kama akina Mengi au Bahresa wakisema hivi wanaeleweka kwakuwa wao wenyewe ni mifano hai na wana udhu wa kuwaelimisha wasio na ajira kujiajiri lakini wengine wanaposema hivyo inakuwa kama kejeli tu kwa watu wasio na ajira.
Ninyi mlioajiriwa kwenye taasisi mbali mbli na mashirika ikiwa ni pamoja na viongozi wa kisiasa acheni kujiona ninyi ndio mnajua zaidi kuwaambia wenzenu wasiokuwa na ajira eti ni aibu kulalamika hawana ajira badala ya kujiajiri. Kama ni rahisi kiasi hicho hebu achieni hizo nafasi ili wasio na ajira wazishike na nanyi mkajiajiri muone kama ni rahisi kama manavyosema. Na mlivyokuwa wabinafsi utakuta wengine mnastaafu badala yakujiajiri bado mnazengea ajira za mikataba na wengine mnazengea nafasi ya kuteuliwa kama uDC, RC, uenyekiti wa bodi nk hivyo kuendelea kuziba nafasi za wasiokuwa na ajira. Na kwakuwa system imeshikwa na ninyi wenyewe hata mteauji anaacha wasio na ajira anateua walio staafu. Ndio utasikia Kanali, Meja, Kepteni mstaafu Mkuu wa Mkoa au Wilaya fulani. Acheni kejeli na nyamazeni kimya kwasababu ninyi wenyewe mmeshindwa kujiajiri ndio maana mnategemea mishahara na posho!

Wana Jamii Forums,
watanzania wenzangu, na wengine wanaoishi katika Sheria zinazofanana na za Tanzania.
Ajira siyo kazi, ajira ni mkataba.
wapo wengine wanaofanya kazi sawa na hao walioajiliwa, halafu wanaitwa vibarua,
Na mara nyingi (siyo mara zote) watu huitwa vibarua kabla ya ajira, hii inamaanisha kwamba kuitwa kibarua unaikaribia ajira
Mtu anaefanya kazi binafsi hajafikia hata levo ya kibarua.
Neno "KUJIAJIRI"
ni msemo wa kisiasa tu! na ulianzishwa na wana siasa kutupofusha macho tusipambanue!
kuna "kazi binafsi" "kibarua" na "ajira"
hakuna "ajira binafsi"
kazi binafsi asilimia kubwa ni ndogondogo ambazo ni za kukufanya ule walau ugari na maharage, kukuacha hai usife, ili uendelee kulipa vati kwa ajiri ya mishahara yao hao walioajiliwa
nasema hivi kwa sababu, mtu anaefanya kazi binafsi anakabiliwa na matatizo mengi kuliko aliyeajiriwa.
kwa mfano:
(a) inapotokea akaugua siliasi, hana mdhamini wa kumsafirisha kwenda hospitali za mbali.
(b) heshima katika jamii, kwa walio na kazi binafsi ni ndogo ukilinganisha na waajiriwa, (isipokuwa kwa wachache wenye mafanikio makubwa)
(c) hawana malipo ya mapumziko ya kazi, baada ya kuzeeka, wala hawalipwi overtime
(d)walioajiriwa wanaitwa viongozi, huku wenye kazi binafsi wakiitwa wananchi nk.
hiyo ni baadhi ya mifano niliyoitoa ambayo naona inaweka utofauti baina ya kada hizo mbili, yaani wenye mkataba wa kazi na wasio na mkataba.
karibu kwa hoja
hilo la ajira binafsi silitambui na nimelipinga, lakini pia mlinganyo uliopo siyo wa viwago vya kazi, ni wa viwango vya kipato na heshima ya kazi husika.binafsi naona hoja zako zimejikita kulinganisha small scale ajira binafsi na watumishi wa serikali ungeangalia kwa upana wake na ngazi zote za ajira binafsi then upangilie hoja zako
Mkuu!Jipe moyo tu mama yangu,na siku hizi mabenki yanataka kusitisha mikopo tutaheshimiana tu.
ok nmekupata mkuu ila umeliangalia kwa level ya chini sana hili suala la kazi binafsi kama unavolitambua wewehilo la ajira binafsi silitambui na nimelipinga
ni kweli unavyosema, na huo mtazamo nimeangalia wastaniok nmekupata mkuu ila umeliangalia kwa level ya chini sana hili suala la kazi binafsi kama unavolitambua wewe