Kama wewe ni mkweli na muwazi soma hii'

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
NIMEKUA NIKIJIULIZA SANA KUHUSU TREND ZA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI:
Mdada anaweza akawa na boyfriend lakn bado anatoka na mtu mwingine na hata wakikosana si ajabu kuona amepata lover mwingine baada ya siku mbili and the same applies to men!
SWALI LANGU NI KWAMBA HIVI MPAKA MWANAUME AU MWANAMKE ANAFIKISHA UMRI WA MIAKA 45 NI UPANDE UPI UNAWEZA UKAWA UMEPITA NJIA NYINGI ZAIDI!
Na wastan mwanamke au mwanaume anaweza akawa amesex na wanaume au wanawake wangapi mpaka miaka 45?
 
Hakuna jibu la moja kwa moja kuwa mwanamke anatoka na watu mara nyingi zaidi au mwanaume. Mara nyingi hali hii hutegemea na tabia ya mtu. Tabia ni chanzo cha uhuni na kutokuwa na uaminifu na siyo jinsia ya mhusika!!

Suala la kutoka mara ngapi na mtu mpaka kufikia miaka 45, nalo ni gumu, maana tabia bado inahusika sana! Jiulize wewe mpaka umri wako huu umetoka na watu wangapi? Au changudoa naye katoka na watu mara ngapi? Akina fataki nao? Na hao wanaofanya kwa kujificha? Waiba wake/wanaume za watu? Wanafunzi wa vyuo? Baadhi ya manesi na madaktari wao? Baadhi ya Walimu? Wanajeshi, Madereva wa magari makubwa? duuu list haiishi hebu waulize hao wakupe jibu!
 
NIMEKUA NIKIJIULIZA SANA KUHUSU TREND ZA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI:
Mdada anaweza akawa na boyfriend lakn bado anatoka na mtu mwingine na hata wakikosana si ajabu kuona amepata lover mwingine baada ya siku mbili and the same applies to men!
SWALI LANGU NI KWAMBA HIVI MPAKA MWANAUME AU MWANAMKE ANAFIKISHA UMRI WA MIAKA 45 NI UPANDE UPI UNAWEZA UKAWA UMEPITA NJIA NYINGI ZAIDI!
Na wastan mwanamke au mwanaume anaweza akawa amesex na wanaume au wanawake wangapi mpaka miaka 45?

Ni vizuri kuwa umesema kuwa mahusiano ya Kimapenzi ya siku hizi! Mapenzi katika umri wa ujana yanakuwa yanamilikiwa sana na hali ya mapitio ya binaadamu kutoka uhusiano wa jinsia mbili usio na tofauti kuingia kwenye ukweli kuwa jinsia mbili hizi zimeumbwa kwa lengo moja lakini kila moja ina kazi ya namna yake. Hapa ile hamu ya kushiriki katika swali la mapenzi linakuwa na nguvu zaidi na hapo ndipo mazingira yanapochukuwa nafasi kubwa. Mazingira ya zamani ni ya kulindana, ya tahadhari, ya kufuata maonyo ya wakubwa, ya nafasi finyu, na mengi mengine ambayo yaliifanya hili suwala la la mahusiano ya mapenzi kuwa na vikwazo ,pengine ni vizuri tu.
Tuje katika hali ya sasa, vigezo vyote nilivyotaja juu havipo na mazingira makubwa yaliyokuwepo sasa ni sifa za kuonekana wewe uko vipi zaidi ya wengine. Hili kwa daraja tofauti kuanzia vijijini, mitaani, shuleni, maofisini na mwengineko linafanya mahusiano ya mapenzi nayo yawe ya mimi zaidi kuliko wengine. Hatuna mapenzi ya kweli eti umempenda mtu kwa sifa fulani ya kawaida isipokuwa jee ana nafasi gani katika mazingira yetu. Kinachofuata ni kuwa huwezi kumpata mtu mmoja akawa juu kwa kila kitu hivyo unalazimkka kuwa na msururu wa watu waliokuwa na sifa fulani katika mazingira yako. Pengine unampenda fulani kwa uwezo wake, yule kwa uzuri wake, yule kwa nafasi yake katika jamii na kadhalika. Hali hii inakuwa kwa kila mmoja hivyo unabaki mchezo na mtu anaamuwa kuwa na ndowa pale anapokutana na mazingira fulani ambayo anaogopa kuwa atampoteza fulani na hivyo jambo fulani litakosekana.
Sasa katika nchezo huo, idadi ya watu utakaolala naop kwa kipindi cha mpaka miaka 45, iwapo hujakuta jambo la kukupiga stop kwa mmoja atakaekufanya ujilinde ili usije ukampoteza haina idadi maalum mradi chombo chako na afya yako iko safi.
 
.....ngoja nifikie hiyo age nitakuja kukujibu nimefikia wanaume wangapi kihonestly...
 
mi najitafunia tu mpaka sasa nimepoteza idadi na nina kama 30. tatizo wanawake wa siku hizi, wepesiii yaani hata wale wagumu ukifukuzia miezi mi 2 hadi mi 3 wanakuwa washakupa.
 
afu tukishajua?

Unaogopa kutoa jibu (meaning swali la mdau halijibiki) au....? kauli yako tata Kongosho wetu ati! Mtu akiamua kuitafsiri kizushi implication ya swali lako na akaitoa hadhari hapa Kongosho waweza kupewa talaka (sijui na Bishanga au Ruta vile)!
 
Mimi Power G nina umri wa miaka 35 lakini bado bikra kabisa kabisa, hivyo ni zero mpaka sasa. Hii ni kwa kuwa wanawake wanaogopa umbo langu - hasa kifua, wanadhani na zana zangu nyeti ni proportional na umbile langu, kumbe masikini siyo!
 
Mie nina miaka 31, huyu niliyenae ni wa tatu na wa mwishooo...!
 
Mi ni mwanaume ninaeuaga ujana,naelekea kwenye utu uzima,halafu simjui mwanamke
 
mi najitafunia tu mpaka sasa nimepoteza idadi na nina kama 30. tatizo wanawake wa siku hizi, wepesiii yaani hata wale wagumu ukifukuzia miezi mi 2 hadi mi 3 wanakuwa washakupa.
Aisee wewe wa wapi? miezi 3 unatafuta kazi au kikojoleo?
 
Mimi Power G nina umri wa miaka 35 lakini bado bikra kabisa kabisa, hivyo ni zero mpaka sasa. Hii ni kwa kuwa wanawake wanaogopa umbo langu - hasa kifua, wanadhani na zana zangu nyeti ni proportional na umbile langu, kumbe masikini siyo!

alaaa..kifua chako kina upana wa cm ngapi vile?
 
Back
Top Bottom