Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

Ingekuwa ni mimi ningeshauri asome moja wapo wa fani hizi;-

  1. Engineering
  2. Medical Doctor
  3. Quantity Survey
  4. Vocational Training in either Masonry, Electrical, Mechanical kwa wale watakaokuwa na Elimu ya wastani.
hapo unaongelea watu/wanafunzi waliosoma saiyance na kufaulu vizuri masomo ya Mathematics and Physics Ambapo 75% ya wanafunzi wanayakimbia kwa kuwa hayana msingi mzuri kutokea Primary hivyo kuwapelekea kupata pass za SIFURI na kwa uchache D kidato cha nne. Hivyo hawana sifa ya kosoma Kozi tajwa hapo juu
 
Then hapo sinza Kuna siasa chafu niamini Mimi

Before 2019 watu walikuwa wanapasua Sana Tena vizuri nadhani Kuna Upumbavu unaendelea
Next exams Dr. Tulia na Mwakyembe WASITI 😎😎😎 Na wanafunzi wakitumia anonymous ID na KABUDI
 
Kusoma vocational training sio lazima uwe umefaulu masomo vizuri, mtu aliyesoma VETA anakuwa well trained.
 
Next exams Dr. Tulia na Mwakyembe WASITI 😎😎😎 Na wanafunzi wakitumia anonymous ID na KABUDI
Elimu ya kikoloni full kukomoana that way hii nchi Unaweza pata degree bila kujua hata kuandika sentence moja ya kingereza Elimu ya kukalili
 
Ni kweli lakini iwapo atakuwa ameshindwa kuendelea na elimu ya juu masomo niliyotaja kwa ngazi ya ufundi yatamfaa zaidi.

Niwie radhi kwa kuegemea upande huo wa Sayansi kwakuwa nami nimesoma eneo hilo hivyo nina mapenzi nalo kuliko kule kwingine
 
Ni kweli lakini iwapo atakuwa ameshindwa kuendelea na elimu ya juu masomo niliyotaja kwa ngazi ya ufundi yatamfaa zaidi.

Niwie radhi kwa kuegemea upande huo wa Sayansi kwakuwa nami nimesoma eneo hilo hivyo nina mapenzi nalo kuliko kule kwingine
Wala usijali napenda namba
 
Udakitari Kwa Sasa umevamiwa. Madaktari wengi hawana maadili ya udakitari Bali wameupata kutokana na ufaulu tu unaotokana na Wazazi kuwa na uwezo Wa kuwasomesha Shule nzuri na Hata vyuo vya kulipia NJE ya nchi.

Serikali ilitakiwa iweke Mishahara Yote iwe Sawa . Ili Kila MTU asomee fani Kwa wito Toka moyoni.

Kuna madaktari walitakiwa kuwa Mapolisi . Wengine hawakuwahi kuwa na wazo Wala wito Wa kuwa madaktari lakini kutokana na kuwa ni Fani yenye Ajira na mshahahara mzuri Kila mzazi anahamasisha Watoto wake kusomea udakitari . Matokeo yake ni kukosa watumishi wenye wito na Uzalendo na utumishi Bora Kwa umma.

Kuna walati kipindi Cha Mkapa Kila MTU alikua anawaza kusomea mambo ya fedha ,Uhasibu, manunuzi, na Kodi. Wengi wakasoma Kwa gharama kubwa mpaka NJE ya nchi . Wengi wao hawakuwa na wito Wala Uzalendo Wa kweli. Hao wasomi Wa Ajira na Maslahi ndio wanaotusumbua Kwa matukio ya ufisadi mpaka Leo.
 
Hoja ya hovyo kabisa!!!
 
Ule muhuri wao hawalali njaa nasikia vibuku 20,30 nasikia wanavipata pata
Mkuu, ulizia gharama ya kusoma SCHOOL OF LAW na idadi ya wanaodisco kila mwana,
Utasadiki kuwa kupata huo muhuri ni kazi nzito kuliko kusomea sheria miaka 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…