Yani we acha tu, kw hiyo ukija ukimpata unakua umepona ulemavu mkiachana unarudi tn kuwa mlemavuMmmh! Kama ndo hivyo basi walemavu tuko wengi.
Yani we acha tu, kw hiyo ukija ukimpata unakua umepona ulemavu mkiachana unarudi tn kuwa mlemavuMmmh! Kama ndo hivyo basi walemavu tuko wengi.
Mmmh! Kama ndo hivyo basi walemavu tuko wengi.
Labda sijakutana na anaependa mguu. Kila kitu kina wakati wake.Hata wewe kwa miguu hiyo hapana aisee.
Ndio sii unakosa utamu wa dunia bwana...lazima kutakuwa na ulemavu tuu mwilini mwako.Wait, kwahiyo kukosa mpenzi ni ulemavu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Labda sijakutana na anaependa mguu. Kila kitu kina wakati wake.
Khaaaa!Ndio sii unakosa utamu wa dunia bwana...lazima kutakuwa na ulemavu tuu mwilini mwako.
Tafuta uko uliko wako kibao.Kama kweli ni yako me napenda miguu
Ushauri wako nimeupokea.Tafuta uko uliko wako kibao.
Vipi wewe Kamau mbona unashangaa.