Jovin john
Member
- Oct 13, 2020
- 14
- 3
hujamsikia rahisi amesema wanapoteza pesa kizembe kisa kuajiri kila mwakaKumbe ajira Amna kabisa
Ume save sh. Ngap mkuu maana ajira bila connection hutoboi mkuu.
Umesoma course gan hapo MNMADuu Sas ataiyo ya connection lzm mtu unaemwamini kumpa iyo pesa
Umesoma course gan hapo MNMA
Apply skills za developments ili uwe na self developmentDegree in Management of Social Development mkuu
MSD hapo mkuu save pesa hata 1M+ upate pakuanzia hapa jijiniDegree in Management of Social Development mkuu
MSD hapo mkuu save pesa hata 1M+ upate pakuanzia hapa jijini
Apply skills za developments ili uwe na self development
Ndio mtaji mkuuKama mtaji or
Hebu pitia huu uzi hapaDegree in Management of Social Development mkuu
Ndio mtaji mkuu
Hebu pitia huu uzi hapa
Kama Hauna Connection, Pesa au siyo In Service Kuna Kozi Hautakiwi Kusoma
Kuna watu tunafanya makosa kisha makosa yetu yanakua case study kwa wengine kosa langu lilikua nilipofika level ya degree nikaamua kusoma kozi moja hivi inaitwa Management of Social Development. Wakati nafika chuo nilikuta hiyo kozi ina jina linaitwa Degree in Politics and Management of Social...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Haukatishi tamaa.Bali unasema Ukweli halisi. Au una penda kudanganywa?Duu nishaupitiaga unakatisha sana tamaa