mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Leo hii picha ingekuwa na maana sana. Na mimi ningelia maana haya malori yote yangukuwa yetu 100 % tuliyochimba sisi....
Kwa nini pamoja na utajiri wote tuliougundua tunao tume haikutoa wazo la watanzania kuchimba madini yao na kuyauza kwa umiliki wa 100%.
Au tumeishakubali sisi hatuwezi kabisa.
Welevu mtusaidie sisi wananchi huku ktk tafakuri madini...