Kama upo serious

Kama upo serious

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Wadau kama upo serious kupata mawazo ya kibiashara au kimaisha au wewe ni mshauri wa kibiashara na maisha nataka kuanzisha group hata humu jf watu wasaidiane au wasaidike kutokana na mashauri au ushauri utakaotolewa na wahusika wa hili group ambalo litaanzishwa au pia discussion kuhusu biashara mbalimbali na maisha pia.
Halafu kingine kwa wale wanaotaka kushauriwa kuhusu afya pia sio mbaya mkijiunga.
Nakama unataka nikuadd post hapa unataka nakuadd kwenye group.
 
Discussions za kibiashara zipo jukwaa la biashara. Hapa unatuzuga tu hilo litakuwa group za mapenzi na ngono!
 
Haahaa jamani hata aje mtu Ambaye anania nzuri mtamsema vibaya
 
weka anwani watajiunga tuu....wewe si ndio admn......
 
katoto kazuri embu ni add fasta tumalize hili suala naona unapambana sana na ni muda mrefu sasa. nahisi ni wakati muafaka sasa wa kukusaidia na hii baridi.
 
hl grupu likiwa tayari naomba niwe mueka hazina mana hakuna biashara bila pesa
 
of coz.....nikiona sio size yangu si natoka tuu......mbinu za biashara hazina mipaka,,,tunajifunza mpaka pumzi ya mwisho
 
Back
Top Bottom