shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Je, ungekuwa na kesi ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha ajali, na ushahidi unaonesha umetiwa hatiani ukaambiwa hakimu ana vifungu viwili vya kufanya uamzi, vifungu vyenyewe ni kufungwa jela miaka 2 au faini ya shilingi 30,000 au vyote kwa pamoja.
Wakongwe wakakueleza kuwa kama hakimu hujamuona (yaani kutoa rushwa) anaweza kuacha kutumia hicho kifungu cha fine na kukuhukumu kwenda jela miaka 3 ili iwe fundusho kwa medereva wengine wazembe kama wewe, lkn ukimwona atatumia kifungu cha fine tu.
Hakimu ana uamuzi wa kutumia kifungu akitakacho kati ya hivyo, Itategemea huruma au hasira atakazo kuwa nazo siku hiyo. Lakini pia Ili kukomesha vitendo vya rushwa tunashuliwa kutoa taarifa TAKUKURU ili hakimu akamatwe na wewe kesi yako iamliwe kwa haki.
Je, utatoa taarifa TAKUKURU au UTAKOMAA haki itendeke?
Naomba tujidiliane kwaani haya ndiyo maisha halisi huku uraiani.