Kama ungekuwa wewe mdau ungefanyaje

Kama ungekuwa wewe mdau ungefanyaje

Kaguo Willy

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
194
Reaction score
172
Habari za muda huu wanaJF.
Niende kwenye mada kuna jamaa yangu wa karibu ameulizwa na demu wake kuwa huwa anavaa bukta yake mara ngapi hadi kuifua ? Baada y jamaa kuulizwa swali akajibu inategemea ila mara nyingi kuanzia mara 4 or 5 baada ya hapo nafua.
Baada ya majibu hayo demu akamwambia jamaa kuwa kuna jamaa mmoja bukta yake imechafuka hadi imebadilika rangi kwani tangu avae ana kama 1 week hivi hajafua na ana mke so anashndwa kuelewa kwann hafui ? Lakn jamaa akamuuliza swali kuwa umejuaje kuwa imechafuka ad kubadilika rangi na demu akajbu kuwa kuna siku aliinama na yeye akaiona so jamaa akawa hajaridhika na majibu ya demu wake.So ungekuwa wewe ungefanyaje kutatua swala hili ?
 
Wanaume hatupendi tabu
tunanunua boxer tunavaa wee siku ukiivua ikasimama dede unatupa

unanunua inginee
kisha rudia juu nilipoanzia
 
Hata kama mwanaume na Upo sehemu ya baridi ila nguo ya ndani ni muhimu kubadirisha kila siku na kuwa nazo nyingi
 
Tatizo lipo kajuaje kavaa wiki nzima, tatizo la kujua bukta chafu hata mm nakutana nalo utakuta kavaa jinsi kata k halafu bukta kiunoni unaiona chafuuuu
Habari za muda huu wanaJF.
Niende kwenye mada kuna jamaa yangu wa karibu ameulizwa na demu wake kuwa huwa anavaa bukta yake mara ngapi hadi kuifua ? Baada y jamaa kuulizwa swali akajibu inategemea ila mara nyingi kuanzia mara 4 or 5 baada ya hapo nafua.
Baada ya majibu hayo demu akamwambia jamaa kuwa kuna jamaa mmoja bukta yake imechafuka hadi imebadilika rangi kwani tangu avae ana kama 1 week hivi hajafua na ana mke so anashndwa kuelewa kwann hafui ? Lakn jamaa akamuuliza swali kuwa umejuaje kuwa imechafuka ad kubadilika rangi na demu akajbu kuwa kuna siku aliinama na yeye akaiona so jamaa akawa hajaridhika na majibu ya demu wake.So ungekuwa wewe ungefanyaje kutatua swala hili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom