nipo online JF-Expert Member Joined Sep 10, 2022 Posts 1,504 Reaction score 3,402 Sep 29, 2024 #1 Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.
Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,682 Reaction score 1,953 Sep 30, 2024 #2 Risk is everything,no risk no gain
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,322 Reaction score 56,058 Sep 30, 2024 #3 Calculated risk,risk zingine utaishia pabaya
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,094 Reaction score 9,301 Oct 1, 2024 #4 Kama mwaka huu nimeamua nijilipue kulima heka 100 za ufuta
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,548 Reaction score 860,651 Oct 1, 2024 #5 nipo online said: Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri. Click to expand... Kwa kilimo cha bongo na huna mtaji wa kutosha unatafuta kifo cha ibada ya kwanza
nipo online said: Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri. Click to expand... Kwa kilimo cha bongo na huna mtaji wa kutosha unatafuta kifo cha ibada ya kwanza