Labda wanipe kidonge nami nimeze niwe mkulima naipenda sana kulima na kufuga ila kunatime moto unakuja alafu unakata navisahau kabisaa na nimeaomea mifugo ila sijawahi juhusisha
kweli chiefKaka Nchi hii tuna baadhi watu walio lelewa kiajabu sana wanao amini katika ajira kwa sabbu ajira za wazazi wao serikalini pamoja na deal za hapa na pale ndio zilizo walea na kuwakuza, Baba au mama alikuwa mwanasiasa ama mtumishi
Wa mshahara mkubwa na nafasi fulani
Hawa ukiwaambia kuna maisha nje ya Ajira ambayo ni huru zaidi kwao katu hawawezi kukuelewa, Kamwe kwani wanaamini wamenyang'anywa nafasi waliyo stahili kuwepo.
Ukizunguka Tanzania ukaangalia ukubwa wa Ardhi iliyopo na nguvu kazi inayopotea mtaani na kwenye mitandao ya kijamii inauma sana.
Wakati wanatuwahi sisi tulikuwa wapi ?Siyo kweli mkuu sema wazungu walitiwahi
Kama walio stahili kulima wanakesha kwenye mitandao ya kijamii kufanya siasa unategemea yataenda wapi? Tunasuburi waje wageni waaanze kuyatumia kulima ndo tupige kelele.Matrekta yamekaa tu pale suma jkt badala ya kupelekwa shamba..... unategemea kilimo kitaleta utajiri
Kama walio stahili kulima wanakesha kwenye mitandao ya kijamii kufanya siasa unategemea yataenda wapi? Tunasuburi waje wageni waaanze kuyatumia kulima ndo tupige kelele.
Hata pale Doma nimeona kuna zana za kilimo pia.
Waliopo shamban mbona hawapelekewi hayo matrekta[emoji3]
Bila shaka huwa kuna vigezo na mashart ambayo huzingatiwa.
Basi tuendelee na vigezo yakae showroom yalime lami
Karibu sana dearNilitaka kucomment..lakini ww umenisaidia nisicomment..!
Tatizo ni kama serikali hasa awamu hii wanakosa mbinu za kufanya biashara na mataifa mengine nchi kama china wana export zao la nyanya zenye thamani ya zaidi mill 300 za kimarekani lakini wanakiwa wameshajenga mahusiano na nchi husika kwamba sisi tunawauzia nyanya na sisi tunaimport bidhaa zenuUmeeleweka mkuu.
Lakini Export si inakuja baada ya production? Pale ambapo soko la ndani limezidiwa bila shaka njia ya nje itajitokeza tu, je unajua Mchele kutoka Kyela unauzwa Kenya? Unajua kuwa mahindi ya Mbeya yanauzwa Zambia na Kongo?
Tukiachana na ugonjwa wa kuilamu na kuituhumu serikali kwa kila jambo tutayaona mafanikio.Tatizo ni kama serikali hasa awamu hii wanakosa mbinu za kufanya biashara na mataifa mengine nchi kama china wana export zao la nyanya zenye thamani ya zaidi mill 300 za kimarekani lakini wanakiwa wameshajenga mahusiano na nchi husika kwamba sisi tunawauzia nyanya na sisi tunaimport bidhaa zenu
kama serikali wangeisaidia private sector kwa mfumo wanaoenda nao china naamini kabisa mkulima nae angenufaika pia lakini hali ililiyopo sasa mnunuz anapanga bei anayoitaka yeye sababu anauza soko la ndani tu
Juzi hapa rais kapata tenda yakupeleka hayo mahindi tani laki saba huko Zimbabwe lakini sisi hatuhitaji chochote kutoka huko je Zimbabwe wataendelea kununua hayo mahindi wakati hawaoni manufaa kutoka kwetu