MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
1. Upadri au usista
2. Kuuza kahawa, ufuta, karanga, korosho, sukari guru etc
3. Ushehe
Asanteni
2. Kuuza kahawa, ufuta, karanga, korosho, sukari guru etc
3. Ushehe
Asanteni
Hiyo kazi utachukiwa na watu wengi, kwa nini usiuze mahindi ya kuchomaUshehe ndo kazi gan? Mimi nataka kuwa mkwepa kodi ili nikibanwa na magufur nitetewe na vyama vya siasa
Safii hiyooHiyo kazi utachukiwa na watu wengi, kwa nini usiuze mahindi ya kuchoma
Kitu kingine kizuri sio rahisi kuchukiwa na watu, kila mtu anakuchangamkiaNzuriii
Ushehe ndio nini bana?1. Upadri au usista
2. Kuuza kahawa, ufuta, karanga, korosho, sukari guru etc
3. Ushehe
Asanteni
Mkuu yaani kuwa sheikh wa msikitiUshehe ndio nini bana?
Tena umejitosheleza kabisa, sasa wewe kama unabisha fanya kazi TRA utaona watu walivyo na hasiraUzi tayari!!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ina maana nikisukumiziwa kazi ya urais nikatae?1. Upadri au usista
2. Kuuza kahawa, ufuta, karanga, korosho, sukari guru etc
3. Ushehe
Asanteni
Ngoja niende u sista, na hivi bado niko "sealed"Tena umejitosheleza kabisa, sasa wewe kama unabisha fanya kazi TRA utaona watu walivyo na hasira
Kama unataka kupendwa usiwe kiongozi, mkuu kwa nini usiuze asali kwa rejareja utapendwa sanaIna maana nikisukumiziwa kazi ya urais nikatae?
Huko sawa, tena usipokuwa mchoyo ndiyo utapendwa sana na mapadriNgoja niende u sista, na hivi bado niko "sealed"
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
hahahahahahahHuko sawa, tena usipokuwa mchoyo ndiyo utapendwa sana na mapadri
Kweli mkuu, mapadri wanapenda sana masista wenye huruma na upendohahahahahahah
mxewweeuuw
Kwani wao hawataki "manjonjo" kama ya akina Wema Sepetu!!!!Kweli mkuu, mapadri wanapenda sana masista wenye huruma na upendo