Kama unataka kufuga ng'ombe njoo ismani

Nipe direction,
nikitaka kuja napanda gari za wapi??
Na Nashuka wapi??
ukishuka iringa unapanda daladala za kihesa kilolo nauli ya daladala ni mia nne unashukia njiapanda ya ismani hapo utapanda gari za ismani(nauli ni chini ya elfu tano)
 
Ndama bei gani?

Je , mtu akihitaji shamba la hao mifugo bei ya mashamba ipoje?

Maji yapo?
 
ukishuka iringa unapanda daladala za kihesa kilolo nauli ya daladala ni mia nne unashukia njiapanda ya ismani hapo utapanda gari za ismani(nauli ni chini ya elfu tano)
Dar to Iringa,
Iringa to Njiapanda ya Ismani
Njia panda ya Ismani to Ismani
Yaani gari tatu hadi ufike huko, basi hiyo bei ni sahihi kabisa
 
Dar to Iringa,
Iringa to Njiapanda ya Ismani
Njia panda ya Ismani to Ismani
Yaani gari tatu hadi ufike huko, basi hiyo bei ni sahihi kabisa
kwani mfano umetoka mbeya kwenda DAR huwezi kupanda gari nyingine au unaishi stendi?
 
ukishuka iringa unapanda daladala za kihesa kilolo nauli ya daladala ni mia nne unashukia njiapanda ya ismani hapo utapanda gari za ismani(nauli ni chini ya elfu tano)
mkuu hiyo ilikuwa zamani siku hizi iringa imebadilika ukishuka stendi kuu hapo hapo unakutana na magari ya isimani nauli sh elfu mbili
 
kwani mfano umetoka mbeya kwenda DAR huwezi kupanda gari nyingine au unaishi stendi?
unaweza kupanda gari la mbeya-----dodoma ukashukia isimani maana isimani ni muunganiko wa vijiji vingi ila gari inayoenda dodoma inapita vyote ila ukipanda la mbeya mpaka dar ukishukia stendi itakulazimu uchukue daladala linaloenda isimani daladala zenyewe hazijaandikwa isimani unakuta zimeandikwa kihorogota,ngano,mkungugu,ilambilole,chamundi,chapuya hizo ndio sehemu za isimani kwa hyo mtoa mada hajataja isiman sehemu gani ila kama unaenda sehemu tajwa hapo juu daladala zpo nyingi hata gari ya dodoma na mtera zinapita hayo maeneo nauli buku mbili mpaka tatu
 
mkuu hiyo ilikuwa zamani siku hizi iringa imebadilika ukishuka stendi kuu hapo hapo unakutana na magari ya isimani nauli sh elfu mbili
anhaa mkuu basi mimi ni zamani kidogo niliwahi ishi iringa hapo kuna sehemu panaitwa gangilonga nasikia kwa sasa stand inaamishwa pale
 
Back
Top Bottom