Kama unatafuta gari ya bei ndogo basi ingia hapa

We jamaa una balaa sana, mark x iliyosajiliwa 2016 unataka kumuuzia nani kwa mil 10???? Bro katika gari zilizoshuka thamani kupitiliza basi ni hizo mark x old model
Hiyo hamna hamna mil 6, ukibisha we bisha ila ukweli itauona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom