Kama unaongea lugha ya kingereza vizuri bila kukwama nicheki tufanye kazi

Wewe ndo hujui sasa...unajifanya kumrekebisha mwenzio wakati wewe ndo hujui kitu...kama unajiamini kweli unajua ulichoandika nipe tofauti ya
" good in english" na "good at english"
Good "in" used when the phrase is followed by verb, whereas Good 'at' is used when the phrase is followed by a noun. E.g. - A person is good in writing poems /A person is good at poetry. - google
 
Wewe ndo hujui sasa...unajifanya kumrekebisha mwenzio wakati wewe ndo hujui kitu...kama unajiamini kweli unajua ulichoandika nipe tofauti ya
" good in english" na "good at english"
Baba achana na huyo, ni mweupe hana chochote. Kama kweli anaifahamu lugha aeleze matumizi ya in na at,asikosoe kosoe wakati yeye mwenyewe lugha gongana!
 
Afadhali wewe maana umetoa na mfano wa sentensi kadhaa kuonyesha baadhi ya maneno yanavyotumika katika lugha ya kiingereza. ASANTE SANA!
 
Hey guys continue pop in comments over here eloquently, I will delve into perpendicularly 😂😂😂
 
Tatizo wengi wanaojifanya wanajua kuongea Kiingereza fasaha hawaongei kiingereza na badala yake wanaongea Kimarekani.
BrE na AmE
Watu wameshazoea kuita Rucksack badala ya backpack!

Pushup badala ya press up
 
"Good at ....." siyo "Good in ....". Kiingereza kazi kwelikweli Bongo.
acha kumkatisha tamaa mbongo wa watu kwenye lugha ya kikristo..matumizi ya preposition hata kwa wazungu ninaoishi nao hapa glasgow Scotland UK ni tatizo kubwa! hujui kipi na kipi ni sahihi...yaani aliposema am good in english yuko sawa kabisa ..wewe kuleta hiyo at ndo umepotea kabisa...ujue kuna common mistakes in english kama ilivyo bongo na kiswahili hukijui chote unaboronga tu
 
Huko Scotland ulikatiwa internet nini? Mboza uzi umezeeka sana huu!
 
Practise makes perfect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…