Habari zenu wakuu.
Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini Mwanaume wala kumpenda kwa moyo mmoja.
Ukiona mwanamke kakubali kuolewa nawewe basi tambua kuwa hajakufuata wewe kwenye ndoa isipokuwa vitu.
Mtu aliewahi kumpenda mtu mwengine kabla yako atakupendaje Mkuu?
Wanawake wana-pretend tu, ila kama wangekuwa na chaguzi basi wangebaki kwa First Love.
Hakuna kitu kama hicho.Sema hujapata wa kukupenda tu…..
Sisi tunApendaga yoyote tu
Analiwa vizuri kiukwli sio malaya hat ni wife material hasa ila dini ndo kikwazo , anasema lazima mi niwepo maana sina baya uzuri tupo mikoa tofauti , wanawake wanapenda sherehe akishaolewa shida yake imeishaAcha Mawasiliano nae, ukiendelea kitakukuta kitu Mkuu.
Huyo mwanamke ni Malaya kama Malaya wengine.
Vitu gani hvyo ?Habari zenu wakuu.