Kama unanunua mahindi tuonane hapa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,186
Reaction score
16,867
Nina tani 20 za mahindi nauza, naomba ofa yako. Yako Handeni Tanga
 
Nina tani 20 za mahindi nauza, naomba ofa yako. Yako Handeni Tanga
Asee tani 20 si mchezo mdau. Daah safi ila kwa nini usisogee maeneo ya kange palee kuna kiwanda kikubwa tu cha unga Pembe flour nadhani wanaweza kukupa offer ya mana mdau, Au check maeneo ya pugu road huku dar kuna azam flour aweza kupa deal la ukweli mdau.
 
Bei please
Mwezi wa January heshima ya unga na mchele lazima irudi
 
Ivi pugu road neo nyerere road au?
Inanichanganya kidogo
 
nataka 450 kwa kilo nije kuchukua...

Agro Business Iringa
 
Taja bei Ya Kilo Moja kwa dar utauzaje?Miimi nataka tani 30
 
Wadau nipo songea nataka kufanya biashara ya mahindi kuleta dar je debe ni shilingi ngapi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…