Msameheni jamani wageni hawa wamekuja kujiunga humu kutokana na sifa walizoisikia jf na tukianza kumtosa atajisikia vibaya,emmanuel kijana
chief-mkwawa ndio mtu wa kukusaidia muombe msamaha tu muende naye sawa,haja ya mja unena muungwana vitendo kuteleza kupo,leo umeleta vitu vi2 email settings na mms,email settings ushasaidiwa,sasa kwanin usingeanzisha sredi ya mms tu? Emma kila Jukwaa lina wataalamu wake ukienda mmu huko utawakuta kina gfson,snowhite,ukienda kwenye siasa utawakuta kina Ritz,Rejao,ukienda chitchat utawakuta kina madame B,ukienda kwenye matangazo madogodogo utawakuta kina Akiri,ukienda kwenye mapicha utawakuta kina boflo,mbuzi mzee,ukienda jf doctors utawakuta kina MziziMkavu,ukienda kwenye sheria utawakuta kina Rutta kwahyo karibu JF Emma.