Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

hatukumchagua jk ili ashirikiane na fisadi mwenzie shukuru kawambwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao bagamoyo huku makao makuu ya nchi yetu (dodoma) kuna kauwanja ka kutulia cecna, bandari-bagamoyo, chuo kikuu cha sayansi-bagamoyo, nasema waache upuuzi huo!!!!! wamekiuka kwa kiwango kikubwa maadili ya uongozi, ingekuwa kufanya hivyo ni sahihi butiama kungekuwa na chuo kikuu kila kijiji!!!!!!!!!! au mtera kwa malecela zingejazana rachi za taifa na kawawa angemiliki ama mbuga ya serengeti au mgodi wa almasi wa mwadui, na hashim mbita angekuwa mfanyabiashara wa silaha(aliratibu silaha katika mapambano kusini mwa afrika) unaweza kumwita mlafi,mchakuaji,fisadi,................... lakini mimi nawaambia jina sahihi la kikwete bado halijatoka, linatarajia kutoka miaka mitatu ijayo, jinsi alivyo muovu kwa jamhuri yetu.

safari yetu, Dr Slaa atatuonyesha njia sahihi ya kupita.
 
Back
Top Bottom