Kama unaifaham SOS CHILDREN'S VILLAGE nijulishe

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nimeitwa kwenye usaili na hawa jamaa,ingawa nimeperuz kwenye website yao,ila naomba mwenye kuijua kwa undan aniambie hapa,hata na scale zao zikoje kwa graduate,as long as hili ni shirika la KIMATAIFA
 
Wapo karibu na mawasiliano tower kama unakwenda mwenge ukitokea ubungo, sijui mishahara yao ila kama upo serious ni PM nikupe namba ya mshikaji wangu anaefanya kazi pale waweza kuongea nae, pia niambie wewe ni KE au ME.
 
mim ni mwanaume(bajabiri)
 
hii ni NGO ya kimataifa ambayo inadili na huduma kwa watoto wasiojiweza na wanaoishi ktk mazingira magumu, SOS wapo karibu na VICTORIA kituo cha mabasi inaoperate 133countries in the world, nimewahi kufanya nao interv wapo professional ktk maswali na yanahusisha na NGO moja kwa moja, me nilifaulu ila referee moja alikomenti negative ndiyo kaniua..mwingine alikomenti fresh kwa kujaza form ambazo waliwatumia.
 
aksante sana mdau,[MENTION=name]Von Moso hamkufikia kwenye salary scale????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom