Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Tuelimishane kuhusu uchimbaji wa kisima cha kisasa na hatua zake borehole drilling
✅hatua ya kwanza ni ufanyaji wa utafiti geophysical investigation hatua hii ni kupima eneo husika kama kuna mikondo ya maji sio kila sehemu kuna mkondo wa maji ambao ni endelevu hapa wataam watakuja na vifaa kupima resistivity za miamba na baada ya wataalam kuchukua data wataenda kufanya interpretation na watakuja na report maji yako umbali gani kutoka USO wa dunia
✅#hatua ya pili ni uchimbaji kisima kwa mashine za kisasa kulingana na ugumu wa eneo hapa wataalamu wanaweza kutumia mud rotary au hummer drilling
✅#hatua ya Tatu ni finishing ya kisima hapa kisima kitawekewa bomba za kuChota maji zinaitwa PVC then kisima kitawekewa kokoto maalumu za kushika bomba na kusafisha maji
#hatua ya nne ni flushing hapa inatumika compressor machine kupuliza na kutoa uchafu kama tope na mchanga
#hatua ya tano ni ufungaji pump kulingana na uzalishaji maji wa kisima
Watu wengi wanahoji kwa mini gharama ni kubwa hii ni kutokana na process ya kuchimba kuwa sophicated na material yanayotumika ni gharama
Lakini visima hivi hudumu miaka mingi sana unaweza kufa ukakiacha akatumia mjukuu wako pia maeneo yenye shida ya maji watu hujimba visima vya biashara
Kwa huduma za uchimbaji tuone
Wells technology
MAWASILIANO 0769509666