Kama una tabia hii uache

Hahaaaaa jamaa anapiga mnazi bila kusukutua na bia? Ila mnazi ni noma, lazima anuke kuanzia nguo, jasho mpaka haja yote itatoka mnazi.....


 
BT, asante sana kwa kuanzisha mada ya toilets, nilikuwa nimewaza muda kidogo.

Kwanza, vyoo vya public kwa nini vinawekwa vya kukaa?

Nadhani bado hatujaweza tumia hivi vyoo vya kukaa, watu wanapanda pale badala ya kukaa, wengine wanakaa hivyo vhiyo.

Basi full magonjwa hasa kwa akina mama.
 

UTI sio?
 

hakuna vyoo nachukia kama vya kukaa..... Ukithubutu lazima uondoke na UTI ya kutosha..... Na hivyo vya kuchuchumaa usishangae kukuta mikojo kandokando na albaki ya kinyesi...... maofisi mengi yanaweka vyoo ya kukaa, sijui wanaona ndo usasa au uzungu? Mie sielewi......


Kuhusu kupanda....... My dear, siku yakinishika vya kunishika wallllahiiii nitapanda loh.....chuoni tulikuwa tunapanda.....yaani ukifika unasafisha choo, unajaza toilet paper kuzuia kurukiwa na maji then unapanda kushusha mzigo.........yote hii kwa ajili ya vyoo vya kukaa....
 

Dah asante mkuu...nimekuelewa kiukweli...
Thanks sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…