Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna jamaa tumuite John alikuwa anamkubali binti mmoja tumuite Jane ile kisawasawa sema sasa John akawa anashindwa kumwambia Jane. Sasa katika kujipitishapitisha kwao na huyo msichana bhana siku akamkuta huyo dada anafua chupi zake nje hapo,
John: Aah Jane,mambo vipi!?
Jane: Safi tu John!!
John: Jane unaweza kunisaidia maji ya kunywa kidogo!?
Jane: Sawa huku akiingia ndani.
John: Akachukua lile beseni lililokuwa na zile chupi akawa anakunywa yale maji
Jane: Jane kufika kamkuta John anakunywa yale maji,akashangaa we John mbona unakunywa hayo maji machafu!?
John: Aaah Jane yan nyama nsile hata na supu nsinywe kweli!?
 
18645161_1934106640180271_2242419390362419200_n.jpg
 
*Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa...*
*Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu.....*
*Wanavyopenda hela*
ahaahaahaaaaaaa.!!! no kweli kabisa na ingekuwa rahisi sana kwa mwanaume yeyote kuuwapatia huko mara wakiachwa na hao ngedere...sijui nianze safari za maporini au vipi.!,!
 
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba na nilimwambia hiyo afanyie mambo yake madogonadogo.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3.
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE
Huyo hata akili ya kuku no refu kuliko ya kwake....teja wa maisha Hugo hafai
 
Hatimaye ile kauli ya Tigo ya Jaza ujazwe imetimia rasmi leo hii baada ya Simba sport club ?.
kumjaza Mbao Fc na Mbao Fc kabla ya kujazwa inasemekana alimjaza Yanga ya dar-es salaam mara mbili mfululizo

Mbao Jaza Yanga ujazwe na Simba

 
Back
Top Bottom