Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

2c6d1d310f0a30405a0902c6b275e248.jpg

 
Mchungaji: Pepo toka

Pepo akajibu: stoki

Mchungaji: Toka kwa jina la Yesu

Pepo: Stoki

Mchungaji: Nimesema toka kwa jina la Yesu

Pepo: Nimetumwa nije nikae kwa mtu huyu ili kesho aokote milioni 100.

Mchungaji kusikia hivyo akasema "Nimesema
toka uniingie mimi"
waumini:Aaaa.
CHEZEA PESA WEYE.‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
Du!!!!!
 
Taarifa Zinazozagaa Mitandaon eti nmeteuliwa kuchukua nafasi ya Prof. Sospeter Muhongo naomba mzipuuze kwani hazina ukwel wowote na zina lengo la kuupotosha umma, miye nipo darasani najisomea......
Kweli ishu ya unga haimwachi mtu salama
 
Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko club.....nkamsikia anasema "wee dj noomaaaa"
Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan?
Nilivyokuwa na roho mbaya Nikamwambia iyo ni collabo ya Yamaha na Petrol

 
Demu wangu alinipigia simu
"Baby, sioni siku zangu."

Nikamjibu..
"Na wewe umezidi kuacha mlango wazi, sasa unadhani nani atakua kazichukua.!? Kafungue jalada polisi.."

Amini amini nakuambia hii ni wiki ya 3 hapokei simu wala hajibu meseji, nadhani bado atakua 'sentro' anatoa maelezo..!!
 
Back
Top Bottom