Stress mbaya sanakwa kifupi unataka tujue kuwa na wewe unaweza badili rangi za maandishi,huna lolote
Daa aiseeStress mbaya sana
Dah, povu yote hiyo nimefanya nini kibaya,?Utukome tena ukomae!Unafikiri ile ni mwanitesa united!?Na utakaa chumba cha giza mpaka uote ukungu nyama wee
Ndio ukafulie sasaDah, povu yote hiyo nimefanya nini kibaya,?
Sawa mkuuNdio ukafulie sasa
...aisee Massaweeee, utakula jeuri yako....!View attachment 1083292
HAHAHAHAHAAAAAA DUH
Ndege ilipata hitilafu angani Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu.
Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, Msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka. Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.
Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi ntakufa na hii ndege.
Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
dah nimecheka aiseeHAHAHAHAHAAAAAA DUH

Twende wote plzNimemiss sana mapovu ngoja niende kwenye siasa kidogo nikawachokoze manyumbu na mafisi
Unautani na sisi hahaaaaaaHAHAHAHAHAAAAAA DUH
Ndege ilipata hitilafu angani Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu.
Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, Msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka. Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.
Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi ntakufa na hii ndege.
Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
Lione sura mbaya kama nyanisiku ya valentine day hua napenda kutumia muda wangu kuwaangalia mademu wafupi waliovaa red dresses maana hua nawafananisha na kimtungi cha ORYX