Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ha ha haaa
FB_IMG_1546513474439.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAHAMU VITU VYA KIPUMBAVU ZAIDI WANAVYOFANYA WANAUME WENGI

Mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake halali kabisa kisha akasingiziwa mtoto wa mwanaume mwingine na akakubali...!!!

Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anatafuta hela kwa jasho na nguvu kwa ajili ya hawara huku mkewe na watoto wakiteseka ...!!!

Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anaweza kujiua kisa tu amesalitiwa na mwanamke, sijui uwezo wa kufanya maamuzi sahihi wamepotezea wapi..!!

Mwanaume anaweza kupanga mipango ya kuchepuka kichwani, ambayo inaweza kudumu kichwani mwake hata miaka kumi kuliko mipango ya maendeleo ...!!

Mwanaume yupo radhi hata kulala na njaa, ili mladi tu atimize adhima yake ya kumhonga na kumnasa binti mwenye wowowo kubwa ...!

Mwanaume kweli ni wa ajabu sana, anaweza kufuta kwenye kiti anachotaka kukaa, ilihali boxer aliyovaa hajaifua wiki 2..!!

Mwanaume anaweza akawa na wanawake hata 3, lakini mkewe wa ndoa asijue hata siku moja..!!

Mwanaume anaweza kuishi na mke wa ndoa zaidi ya miaka kumi Wakiwa wamepanga, lakini ana hawara amemjengea nyumba safi kabisa..!!

Mwanaume anaweza kuwa na heshima nchi nzima, mkoa mzima, Mtaani kote, lakini nyumbani kwa mkewe, anaonekana boya kabisa, na deki anapigishwa, na vyombo anaosha..!!

Mwanaume anaweza chuma mali na mkewe, na mwisho akamwacha mkewe , Na kuoa baamedi...!!

Mwanaume anaweza akawa na kazi nzuri lakini akawa anaishi kwa mwanamke akamjengea, akamfungulia biashara, ila akifukuzwa tu kazi anakosa pa kuishi na mwanamke nae anamfukuza....!!!

Kama hujui mwanaume akili yake inawaza mapenzi kwa asimilia kubwa kuliko mwanamke...!!!

Kama hujui pia wanaume wengi wanateseka kwenye mahusiano lakini wanajifariji kwenye pombe...!!

Ndio maana tunakufa mapema....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom