asante kaka, nadhani walengwa watakutafuta
Mimi NINA NOKIA ASHA 202 LAKINI HAIWEZI KUDOWNLOAD PDF HELP ME PLEASE
wewe fundi kimeo fundi mzuri ni mwesiga wa posta
nice thanks :smile-big:![]()
![]()
natumia Nokia N97 haixomi pdf inadai licence ime expired,nipe ujanja
yangu sumsung galaxy s2 Google play imegoma kusupport downloading
Nita unlock simu yako,kikubwa tupia model no.,imei,kupata imei bonyeza[*#06#] au *#0000#..au nicheki 768260834
yangu ni sumsung gt-E 2550 inatatizo la phone locked
mkuu nikiwasha tu inaniandikia phone lock. Huwezi kuingia popote, inataka passwardtry to dial MASTER RESET CODE:*2767*3855#
mkuu nikiwasha tu inaniandikia phone lock. Huwezi kuingia popote, inataka passward
mkuu me nina nokia n81 nahtaj kuanlock securty code.imei 356993018520128