NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Nimeanzisha poll najaribu kuona watanzania tunatumia simu zipi maana naona data za online haziaminiki wanasema watanzania wanaotumia simu zaidi ya 40% wana iPhone, haya si maajabu.
Sasa naomba tupige kura za fasta fasta, kama uko na smartphone either android, windows phone, iphone au kama bado unatumia operating system nyingine,
Kama poll huioni waweza jibu hii post kwa neno
Android
Windows
iPhone
Others
Najaribu kupata idea ya users wa bongo hizi data zawezasaidia wanaotarget kuwatengenezea watanzania mobile applications kuanzia online transactions, social networks na huduma nyingine.
Ila zinaweza kuwasaidia na wengine pia.