Kama una rasilimali fedha chache, utawekeza kwanza wapi?

Kitu chochote kile iwe elimu, ujuzi au biashara inahitaji uwekezaji. Tunaelewa kabisa uwekezaji unahitaji kwanza fedha, muda, na watu.

Wengi tunashindwa kutimiza malengo yetu kutokana na kuwa na rasilimali chache na wakati mwingine kuwekeza sehemu zisizo sahihi.

Sasa tujiulize, kama una fedha kiasi, utawekeza kwenye elimu, ujuzi au utawekeza kwenye biashara? Na ni kwanini?
1. Biashara/Ujuzi
 
Elimu na ujuzi, tofauti yake nini?
Elimu ya darasani ni ile inayowanyima vijana wengi ajira, na ujuzi ni kile kitu alichopata mhitimu kupitia aina yoyote ya elimu au mafunzo na akawa na uwezo wa kukitenda na kuonekana,ambacho pia kinaweza kumuwezesha kujiajiri.
 
Nikipata kihasi kwanza Biashara then nikishatengeneza Cashflow nawekeza kwenye Skills ili nifanye Hustle zinazohitaji ujuzi nikishafanikiwa sana huo upande pesa ninazo accumulate nawekeza kwenye Biashara kubwa.

1)Fast Business
2)Skills Based Business
3)Starting Business Portifolio

Then Boooom
 
Nikipata kihasi kwanza Biashara then nikishatengeneza Cashflow nawekeza kwenye Skills ili nifanye Hustle zinazohitaji ujuzi nikishafanikiwa sana huo upande pesa ninazo accumulate nawekeza kwenye Biashara kubwa.

1)Fast Business
2)Skills Based Business
3)Starting Business Portifolio

Then Boooom
Kutokana na fani yako uliyosoma,unahisi unaweza kufanya biashara itakayoendana na fani yako?
 
Back
Top Bottom