Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Nipe uzoefu wako kwa dsm..soko la nguruwe liko wapi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Wazo zuri kaka,Mungu akubariki kwa kile ukifanyacho sasa
 
Nimeenda Jana Soga it is true biashara ipo na alivosema ndivyo ilivyo hajaongeza hata chumvi,Mungu ambariki sana huyu kaka!kwa aliye serious afanye tu na sasa hivi wananunua mpk ng'ombe.Mhimu uwe na Vibali!
Na hawana longongo majamaaa!!
 
Kuhusu ng'ombe inakuaje mkuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeenda Jana Soga it is true biashara ipo na alivosema ndivyo ilivyo hajaongeza hata chumvi,Mungu ambariki sana huyu kaka!kwa aliye serious afanye tu na sasa hivi wananunua mpk ng'ombe.Mhimu uwe na Vibali!
Na hawana longongo majamaaa!!
Mkuu tunashukuru kwa hii taarifa...kuhusu ngombe utaratibu nao ni huo huo!
 
Biashara sio rahisi kama unavyofikiria
 
Nimeenda Jana Soga it is true biashara ipo na alivosema ndivyo ilivyo hajaongeza hata chumvi,Mungu ambariki sana huyu kaka!kwa aliye serious afanye tu na sasa hivi wananunua mpk ng'ombe.Mhimu uwe na Vibali!
Na hawana longongo majamaaa!!
Nawe pia tupe details za kutosha,je idadi ya ng'ombe wanataka kuanzia wangapi,na bei yao ikoje
 
Nice
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…