eeebwana usiombee ukutanene na wabeba zege wale jamaa ni balaaa kwa matusi, wakifwatiwa na mafundi wao wa ujenzi yaani ukiwa site siku ya kumimi zege unaweza kufikiri hao jamaa wamelaaaniwa au wakati wanatoka site wakiwa wamebebwa kwenye malori ya mchanga yaani njia nzima wanatuka watu yale kwao sio matusi ni namna yao ya kuongea.
sasa mmoja wao akifika nyumbani watu wameokoka anajisahau kila saa inabidi atoke nje atukane mwenyewe ndio arudi ndani kila akikaa tusi likija anatoka nje anatuka halafu anarudi ndani ujue akitoka nje anaongea matusi mwenyewe. katika utafiti niliokuwa nafanya nikajaribu kumfwatilia huyu bwana siku kila mara akitoka nje anaenda nyuma ya nyumba unasiki .... ya mama yako. ....... ya punda ........... ..... ya kichehhe ............. mara saburi lako la kulia mara saburi lako la kushoto ....................... mara k ya k yaani nikianza kuandika mar=tusi yake hapa sitayamaliza . na baada ya hapo nikakuta watu wanaokaa maeneo ya stand na sokoni hawa watu huwa hakuna mtu mzima hata mmoja katika maeneo yao yaani vibibi na vibabu lwao moja. ebna walevi ndio kuanzia mtengenezaji wa pombe mpaka mywaji naona saa jamaa wanatengeneza pombe yale matusi yao yanaingia kwenye pombe hivyo mtu akinywa akilewa yanaanza kutoka yenyewe.