Kama una hamu ya kutukanwa :

Mzee hapo umenena hasa kwa wafanyakazi wa TANESCO! Mimi my bedmate ni mfanyakazi huko, lakini duuuuh! Akiamua kuporommosha utakimbia home ujifiche nyuma ya mlango wa choo!
KWA TAARIFA YAKO :
Makundi yafuatayo yanaongoza kwa kumwaga mitusi / lugha chafu :

1. Wafanyakazi
/vibarua wa
TANESCO.
2. Barmaids.

3. Wafanyakazi
wa idara ya
AFYA.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10........

Ongezea na wewe......
 
Mzee hapo umenena hasa kwa wafanyakazi wa TANESCO! Mimi my bedmate ni mfanyakazi huko, lakini duuuuh! Akiamua kuporommosha utakimbia home ujifiche nyuma ya mlango wa choo!

Tehe tehe tehe ! Wale jamaa noma. Wana manyimbo yao wakiwa kazini,matusi tupu chorus hadi verses.
 
Broda wakati mwingine unaweza kusema nitimkie kwa road nirudi vumbi limitulia. Huwa hawachagui nani wa kumwangushia mitusi na nyimbo zenye mafumbo ya kitoto! This world bwana.....wee acha tuuuuuuu!
Tehe tehe tehe ! Wale jamaa noma. Wana manyimbo yao wakiwa kazini,matusi tupu chorus hadi verses.
 
Unanikumbusha aunt yangu mwar*ab. Alikuwa anatukanaga kiswahili kisha kiar*ab then kinyamwezi. Utamtaka!

Hebu jaribu kupitisha nguruwe mbele ya msikiti wa nanihii utapata jibu
 
Kwa kweli wafanyakazi wa TANESCO kwa nouma. Na kwa wale waliokwisha kufanya kazi kwenye mahotel watakubaliana nami wafanyakazi wa jikoni wana matusi ya kufa mtu, yaani kila kifaa na chakula kina nick name la tusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…