The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,586
Kama una hizo gari . offer yangu ni 3.2M ,ziweka hapa au njoo Pm.
Sitaki
KuiwekaHutaki nini
Kuiweka
Nimeanza kununua gari tangu mwaka 1996 , wewe ulikuwa darasa la ngapi kipindi hicho?Gari ya milion 3 itakusumbua wewe Hadi uchanganyikiwe.
Tafuta gari kuanzia milion 6 na kuendelea pia kama hauna uzoefu wa Magari utapata shida sana
Kwenye comment Yangu sijaonesha upotoshaji Bali nimekuambia kama hauna uzoefu wa Magari usinunue gari za milion 3,Kwa uzoefu wangu mdogo najua wabongo wengi sio waaminifu hasa ukiuziwa gari la bei za chini.Nimeanza kununua gari tangu mwaka 1996 , wewe ulikuwa darasa la ngapi kipindi hicho?
Ushauri kama huu wanapewa watu ambao wanaanza kununua gari. Ni kweli kwa mtu ambaye ni Mara yake ya kwanza kununua gari ni bora akaenda Showroom au kuiagiza Japan. But kwa sisi wahenga huwa tunanunua hata gari zilizo juu ya mawe kabisa . Halafu kesho gari hiyo utaiona inatembea barabarani.Kwenye comment Yangu sijaonesha upotoshaji Bali nimekuambia kama hauna uzoefu wa Magari usinunue gari za milion 3,Kwa uzoefu wangu mdogo najua wabongo wengi sio waaminifu hasa ukiuziwa gari la bei za chini.
Alijuaje kwamba wewe unauzoefu tiyari?Ushauri kama huu wanapewa watu ambao wanaanza kununua gari. Ni kweli kwa mtu ambaye ni Mara yake ya kwanza kununua gari ni bora akaenda Showroom au kuiagiza Japan. But kwa sisi wahenga huwa tunanunua hata gari zilizo juu ya mawe kabisa . Halafu kesho gari hiyo utaiona inatembea barabarani.
Kwani unateseka?Alijuaje kwamba wewe unauzoefu tiyari?
mi mwenyewe nilijiukuza same QnAlijuaje kwamba wewe unauzoefu tiyari?
Kununua gari isio na usumbufu ni bahati tu maana watu wanauza gari mbovu hata milioni 10 au 15 lakini hawakuambiiGari ya milion 3 itakusumbua wewe Hadi uchanganyikiwe.
Tafuta gari kuanzia milion 6 na kuendelea pia kama hauna uzoefu wa Magari utapata shida sana
Nauza gari Cresta Gx 100 kwa milioni 2.5 lipo katika hali nzuri mno nauza kwakuwa ninashida. Huez pata kirahisi gari kwa bei ya pikipiki, nakuruhusu uje na fundi wako unaemwamini tuweke mafuta tupige misele siku nzima tukila mziki mkubwa, utasibitisha gari ni zur halina shida yeyote. shida n mm tu nina shida na hela...Kama una hizo gari . offer yangu ni 3.2M ,ziweka hapa au njoo Pm.
OKNauza gari Cresta Gx 100 kwa milioni 2.5 lipo katika hali nzuri mno nauza kwakuwa ninashida. Huez pata kirahisi gari kwa bei ya pikipiki, nakuruhusu uje na fundi wako unaemwamini tuweke mafuta tupige misele siku nzima tukila mziki mkubwa, utasibitisha gari ni zur halina shida yeyote. shida n mm tu nina shida na hela...
nicheki whatsp kwa more info 0756086125. au nipigie.
Sio kweli ,, nilinunua x110 million tatu ya muhindi no A ,, nilibadili tu bearing za mbele na ball joint..Gari ya milion 3 itakusumbua wewe Hadi uchanganyikiwe.
Tafuta gari kuanzia milion 6 na kuendelea pia kama hauna uzoefu wa Magari utapata shida sana
Wakati naanza Anza kufuga ..Kuna mtu alikuwa ananunua hata kuku wagonjwa wanamafua kabisa wakati Mimi nilikuwa nawaogopa najua hawatoboi kumbe yeye ni mzoefu na ufugajiUshauri kama huu wanapewa watu ambao wanaanza kununua gari. Ni kweli kwa mtu ambaye ni Mara yake ya kwanza kununua gari ni bora akaenda Showroom au kuiagiza Japan. But kwa sisi wahenga huwa tunanunua hata gari zilizo juu ya mawe kabisa . Halafu kesho gari hiyo utaiona inatembea barabarani.
Uliyosema ni kweli?Wakati naanza Anza kufuga ..Kuna mtu alikuwa ananunua hata kuku wagonjwa wanamafua kabisa wakati Mimi nilikuwa nawaogopa najua hawatoboi kumbe yeye ni mzoefu na ufugaji
Baada ya muda na mimi nikawa najua huduma za kuwapa kuku kulingana na magonjwa Yao
Ni sawA na mfano wako wa gari ukifahamu kitu hakiwezi kukusumbua
Hizi Gari nzuriGari yangu ya kwanza ujanani niliyonunua mwaka 1991 ilikuwa ni Toyota Cresta Super Lucent model ya mwaka 1987 kama hii hapa. Ilikuwa gari ya kuaminika sana enzi hizo kwani ilikuwa na injini yenye nguvu na nzito ikiwa stable sana barabarani pamoja na barabara za makorongo tulizokuwa nazo enzi hizo. Nilikuwa nimeagiza Toyota Cressida kutoka kampuni iliyokuwa inajulikana kama Autorec, lakini wao wakniletea Cresta
View attachment 3442626