Kama una gari aina ya Lexus,Noah(new modal),Rav4(new modal) au Prado .

Mussa Mujule

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
22
Reaction score
2
Kama kuna mtu Ana miliki magari ya namna hiyo( Lexus,Noah,Rav4 hata kama Una Prado) nataka tubadilishane kwa gari yangu aina ya Nadia na pia nakupatia na hela kadhaa.
Lexus(Nadia na 3M)
Noah (Nadia na 2M)
Rav4 (Nadia na 3M)- Rav4 new modal
Prado(Nadia na 5M)
ILA zisiwe zenye rangi nyeupe. Rangi nyeusi na Silver zitapewa kipaumbele.
Kama uko tayari naomba tuwasiliane kwa namba yangu ya simu 0717059813
 
Unacheza makida yani Nadia gari za kike ubadirishane na Rav4 New model na nyongeza ya 3m? Nadhan haujui bei za magari.
 
Vipi Lamborghini aventador utaniongezea bei gani?
 
Mi nashangaa Prado ubadilishane na Nadia eti uongeze 5M tena new model, hivi unafahamu bei za magari wewe?
 
Mkuu hivi Nadia si inacheza kwenye 9m? Sasa nikupe Prado yangu ya 50m alafu ujazie balance ya 5m kweli?
 
kujua bei ni jambo moja kukubaliana ni jambo lingine tofaiti na ujuzi wa Bei.
Mara nyingi wanao hoji hata Baiskeli hawana ila hujaona Rav4 atakayo ileta na wala hujaona Nadia atakayo pewa ,so kuwa makini unapo Toa agguement ikiwa hujaona uhalisia wa vitu.
Asante kwa mawazo yako,nitayafanyia kazi kwa kujua solo la magari.
 
Vipi Lamborghini aventador utaniongezea bei gani?

Hizo gharama zilizopo hapo zinabadilika kulingana na units pamoja na uzuri wa gari,kama Una imani Una gari zuri sana la kubadilishana na gari yangu,cha kuzingatia ni kwamba,sita zidisha million 8. So tutakubaliana mara baada ya kuona gari yangu na mm kuona gari yako.
 
Mi nashangaa Prado ubadilishane na Nadia eti uongeze 5M tena new model, hivi unafahamu bei za magari wewe?

Umeshaiona Nadia yangu?? Je umeshaiona Prado yake?? Kama hujaviona vyote,mbona Una achama mdomo.Kuna mtu kauza gari yake mwenyewe Pajero Nissan kwa million 5 mmepiga kelele,kama ww huwez,mwenzako anaweza.
Mara nyingi wenye kelele ni wale wasio hata na mkokoteni,kama huna wala usiwaze coz hatutakusema kwamba huna .so nenda kakojoe ukalale.
 
Mkuu hivi Nadia si inacheza kwenye 9m? Sasa nikupe Prado yangu ya 50m alafu ujazie balance ya 5m kweli?

Ukihitaji kujua uhalisia wa mambo njoo mezani,Maswali yako yataisha alafu hiyo bei sio ya super market kwamba haita badilika,tutazungumza kama unahitaji tufanye Biashara,tht is ma offer,kama U need a counter offer,just tell me.
 
Baiskeli ubadilishane na boda boda kisha uongeze laki 2 ndo hii mada.
 
Umeshaiona Nadia yangu?? Je umeshaiona Prado yake?? Kama hujaviona vyote,mbona Una achama mdomo.Kuna mtu kauza gari yake mwenyewe Pajero Nissan kwa million 5 mmepiga kelele,kama ww huwez,mwenzako anaweza.
Mara nyingi wenye kelele ni wale wasio hata na mkokoteni,kama huna wala usiwaze coz hatutakusema kwamba huna .so nenda kakojoe ukalale.
Pajero Nissan ndo gari gani?
 
Heeeeee.....Pajero Nissan.
:thumbdown:
 
Me nina grand vitara 2L ni ya 2006, auto diesel engine. Nime nadia na 10 M.
 
Umeshaiona Nadia yangu?? Je umeshaiona Prado yake?? Kama hujaviona vyote,mbona Una achama mdomo.Kuna mtu kauza gari yake mwenyewe Pajero Nissan kwa million 5 mmepiga kelele,kama ww huwez,mwenzako anaweza.
Mara nyingi wenye kelele ni wale wasio hata na mkokoteni,kama huna wala usiwaze coz hatutakusema kwamba huna .so nenda kakojoe ukalale.

Ona unatoa mipovu, huyo atakayekubadiliahia Prado kwa Nadia labda ya wizi au ya kuokota lakini si hizo nizijuazo mimi gari la fob dollar 800 ubadilishane na gari la fob dollar 15000-20,000 wapi na wapi? We ndo ukakojoe ukale maana u seems to know nothing abt cars my buddy!
 
Back
Top Bottom