AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,194
- 24,443
Maua unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani? Halafu siku hizi mboni haupokei simu zangu? Kwanza Mzee Laizer hajambo?Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Kuna wanaume ukifosi tu ndio nitolee hio miamba haipendi kufosiwa, kuna muhuni alifosiwa ndoa mpaka kwenye zile pilikapilika anatoka salon akagongwa na gari na kufunga ndoa kukaishia hapo, muhuni alikuja kufunga ndoa baada ya kutoka ICUToka zamani mpaka sasa ndoa zinafosiwa ni wewe tu kuamua ufosi namna gani
We sema umeolewa lakini sio kiviiileSijui kama nimeolewa au nipo single
Shida ipo kubwa-tena kubwa sana.Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza .
26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.
Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
Will you marry me baby?Sijui kama nimeolewa au nipo single
Maisha hayana FORMULA ni kama MBUPU za mbuzi leo mbele kesho nyuma.Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza .
26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.
Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
Unahela ?? Au kamdomo tu ndio maana upo singleTatizo akili huna, wanaume hatuwezi oa mwanamke ambaye tunajua fika kabisa ni dumu wazi
SijuiUnahela ?? Au kamdomo tu ndio maana upo single
Tate Mkuu ephen_!!Yaani kama wewe ni mwanamke hujawahi ambiwa na mwanaume will you marry me ?? Uwe mama wawatoto wangu , huoni kuna tatizo.
18 to 25 hakuna mtu aliyekuja kukuliza .
26 to 35 hakuna na 35 to 40 hakuna.
Zaidi ya kuwa mama wawatoto wa mwanaume ambaye sio wako ??
Ni anakuja tu nakuondoka ???
Ila kukaa nope , asilimia kubwa anataja wanawake wengine kwa mambo ya muhimu kama ndoa, mambo ya maendeleo.
Hushangai yaani na umeenda kwa waganga huko na huko ila wewe huonekani wewe unastahili hili hujiulizi .
Unaweza hata kuolewa ila kustahili mazuri popote hakuna .
Tate Mkuu ephen_
Wataalamu hii nini ??
Mpumbavu ndio wewe huna akili hata watu wameamini Tanzania ni nchi ambayo inawasomi ila wakosa akili ndio yako .1) Wanawake mtandaoni hawapo. Amini kuwa mada imeanzishwa na mwanamke at your own risk! ! Msiseme sijawaambia. Utajua hujui!
2) Hakuna mwanamke Tanzania hii ambaye hajawahi kutangaziwa ndoa. Hakuna. All women know this.
3) Asilimia 99% ya wanao pressure watu kuoa / kuolewa kwa kuwadhihaki wana ndoa zenye huzuni na misukosuko. Au ni watu ambao wanawake wengi hawawataki kwa sababu mbalimbali.
4) Binafsi kutokuolewa na watu niliofikiri nataka kuolewa nao ni BARAKA na UPENDO mkuu kutoka kwa Mungu wangu. GOD LOVES ME! ! Kaniepusha na mauzauza makuu nikifikiria ni mimi ndo ningekuwa nimeyabeba mauzauza haya muda huu nabubujikwa na machozi juu ya Upendo huu mkuu aliona Mungu wangu kwangu 😭.
5) Tulieni mletewe shemeji! Ebo! Na marufuku kumuita shemeji. Hili jina hiki kizazi cha mwisho kimekuwa cha hovyo sana. Unamuita kaka kwa adabu zote. Sawa wambea?
6) Punguzeni viherehere na visebengo kwenye maisha ya watu juu ya mambo ambayo MUNGU mwenyewe ametuachia uhuru wa kujiamulia.
UJe utangaze nia yakujichukulia jiko au hadi ni mtaje
Ohooo! Kimenuka tayari.Mpumbavu ndio wewe huna akili hata watu wameamini Tanzania ni nchi ambayo inawasomi ila wakosa akili ndio yako .
Hadi sasa unadhani sina watu humu ndani iwapo nahitaji ndoa sijui mnaakili gani mnazani humu jf kuna mtu wa hadhi yangu??
Au mkitombana nyie humu kupitia mada za kipuuzi ndio mimi .
Au mtu akiweka post yake nikwamba mtu anahitaji wakumpoza achageni
Usengee eti mtakuja kufumuliwa marinda kwa ajili ya akili kama hizi .
Kwanza unawashwa na nini kama. Ntu ameamua jambo lake .
Halafu tatizo lenu ******* kama nyie hamnaga maendeleo maana sio majirani wanawachukia kwa akili zako zakisenge , sio kazini sio kanisani au msikitini yaani una maadui kushinda siku zako zakuishi duniani
Unaniangusha! Inakuaje mpaka sasa hujamtia mimba huyu
Nitakuchapa hayaUnaniangusha! Inakuaje mpaka sasa hujamtia mimba huyu