Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,236
- 36,268
Na sitaki mwingine, mi nataka yeye tuu...
Tukidumbukia wote kwenye dimbwi la maji na kukaa umbali wa sifuri...
Macho yako yangu, pumzi yako yangu, ulacho nakimeza....
Nitake nini zaidi ya kusikilizia kumbato mwanana na kujificha kama katoto...
Ile ulinzi na joto nnalolipata kwenye kumbato, Maulana ndo anajua siukuzi bali ni uhalisia.
Ghafla nasikia sauti inapenya masikioni kwa lugha ya Mahaba ikisema....
Mi Amor es tuyo para siempre, mola mi vida.
Nikashikwa na kigugumizi Hata kujibu nikashindwa.... Mahaba haya.....
Love U Much D.
Matata K.