Kama umewahi kuwa kwenye mapenzi, weka mikono juu

Kwi kwi kwi kwi kumbe muoga wa varangati eh!? 😂😂😂😂niko busy mrembo baadaye basi,

Asante kwa kunipa mualiko wa pati ya kwenye boti, umeniamshaaa......

Am on and on japo kughairi kuko palepale teh teh teh teh....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Asante kwa kunipa mualiko wa pati ya kwenye boti, umeniamshaaa......

Am on and on japo kughairi kuko palepale teh teh teh teh....

What!! Hii ni leo ofisini.

Ina maana tunafanya kazi ofisi moja na huwa unanichora tu?

1C505E68-D1F9-483A-B44E-EE0A9E28CF9B.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂ila usifanye yale mambo yako banaa miye siyapendi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Asante kwa kunipa mualiko wa pati ya kwenye boti, umeniamshaaa......

Am on and on japo kughairi kuko palepale teh teh teh teh....
 
What!! Hii ni leo ofisini.

Ina maana tunafanya kazi ofisi moja na huwa unanichora tu?

View attachment 1191587

Aahahahahhahahaa Monkey Pie Ngabuuuuuuu
Honey Bunny Butter Squash.....

What a sweet of you Sweet pie hehehehehehee
Aiseeh nimezimiss hizi swaga za kukuita Nyaaaaaniiiiiiiii
Mooonnkeeeeeeyyyyy.....

Aaahahahhahahahahahahaa

Thanks for the birthday wishes Ngabuuuu

I like to party...

Let's go for a party....

So in love.... Just don't tell anyone t'morrow...

Matata Kasinde.
 
😂😂😂😂😂😂ila usifanye yale mambo yako banaa miye siyapendi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani weewee......

Dawa yako kukuwekea mziki non stop kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri hakuna kupumzika.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahahaha ubavu huo utautoa wapi?
😜😜😜

Yaani weewee......

Dawa yako kukuwekea mziki non stop kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri hakuna kupumzika.
 
Hahahahahaha ubavu huo utautoa wapi?
😜😜😜

Kumbe hujayapata Matata ya Kasie eeehhh....

Wee subiri DJ aweke hiki kibao....

Na ukiomba poo namwambia DJ, please don't stop the music hadi saa kumi alfajiri...

Wakusamba kusamba makusa....
Wakusamba kusamba makusa....

Na huu pia utaucheza tuu hheheheheheheeh hapana tegea...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahaha lol!

Hahahahahahaha akili zako wakati mwingine unazijua mwenyewe lol!

Break dancing akusema kusamba makusa...
Akusema kusamba makusa....
Akusema kusamba makusa...

Non stop till the balls fall hehehhee.
 
Na sitaki mwingine, mi nataka yeye tuu...
Tukidumbukia wote kwenye dimbwi la maji na kukaa umbali wa sifuri...

Macho yako yangu, pumzi yako yangu, ulacho nakimeza....
Nitake nini zaidi ya kusikilizia kumbato mwanana na kujificha kama katoto...

Ile ulinzi na joto nnalolipata kwenye kumbato, Maulana ndo anajua siukuzi bali ni uhalisia.

Ghafla nasikia sauti inapenya masikioni kwa lugha ya Mahaba ikisema....

Mi Amor es tuyo para siempre, mola mi vida.

Nikashikwa na kigugumizi Hata kujibu nikashindwa.... Mahaba haya.....

Love U Much D.

Matata K.

el amor es como una mariposa!
 
Hahahahahahaha akili zako wakati mwingine unazijua mwenyewe lol!

Aahahahahahhaaaaa abeeeh
Nimefanyaje tena BAK jamaniii

Break dance Matata hiyo, non stop motion Heheheheheheh.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
cuando era un niño pobre solía amar, tanto pero mira lo que el amor me ha hecho

oooh lo que pasa, por favor habla conmigo.... Soy una vieja abuelita podría ayudar con un centavo de Consejo si no le importa...
 
Back
Top Bottom