Mimi kinyume chake.
Nikiwa form 4 nilizoeana na demu mmoja kwenye simu, yeye yupo mkoa mwingine na mimi mwingine. Chanzo cha kuzoeana ni kaka yake tuliekua tumasoma nae. Kimasihara nikafika Chuo nikamaliza na demu alinilipia Ada moja (nilipoenda chukua cheti chuo wakasema **** ada bodi hawakuileta nilipagawa ila akanilipia ada nzima m1.5 nikapewa gamba), kupata kazi nikajifanya nazijua chupi cha DSM tumebreak. ni friends ila naonaga aibu sana kwa ndugu zake, na yeye. najisikia guilty sana. ni wife material ila ungese wangu na ulimbukeni.
nikaja pata mwingine, dah uyu nae material ila duh nimemuumiza sana, uw anajuta tabia yangu ila najikuta nishamuumiza. especially hawa mafala wa kuchat nao, vitendo sio sana mgumu sana kusex nje ila kuchat nao mwepesi sana. na yeye sahivi hatupo kwenye term nzuri. nahisi tutwagana maana dah. ila ni material sana.
sahivi nipo na lipenda hela ili lina matako makubwa hivi.
kuna wanawake nao wanaumizwa sana na sisi.