Kama umeoa au haujaoa take this

Uitumie tu mkuu mbona wao wanatumia zetu? Ni kuwa na roho ya kiume na kijasiri tuu na kuwa na maneno ya kujilinda atakapoinua mdomo🤣🤣🤣
Aaahhh siwezi kabisa nashindwa yani siku hizi siwezi.
Miezi kadhaa nikam date single mother mmoja hivi,she is well of, aisee sijui ule ulikua mtego au vipi, ila alipoona nazikataa sana issue za pesa zake directly, akaanza kuzileta mfumo wa vijizawadi vya hapa na pale.
Nikampiga chini
 
Nyoka hajawahi kuaminika! Ama kuaminiwa! Litumie shimo lake/pango lake kwa akili!, lisije-kukulemaza!
 
Kwa hali kwann vijana wasitake kulelewa na mishangazi kwa kigezo cha wanahitaji kuliwazwa huku wengine wakienda buza kutwa mara tatu
 
Umeandika mengi sana unajaza server bure,sentensi ni moja tu,mwanaume usiwe fala.
 
Daaaa unakwepaje yote haya 51 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…