Kama umeoa au haujaoa take this

Swali la kwanza, wewe umeoa?
 
Bila shaka una UCHUNGU moyoni,,,A.tafuta hela
B>Tafuta matibabu
 
Sijui nianzie upande upi kusaka hizi hela. Il ndoa ni zaidi ya mahusiano.

Tujitoe kwa familia zetu ila adui wako hawezi fanana na wangu. Silaha za kumuua tembo si sawa na yakumuua ngurue
 
Nakumbuka nilishawahi kukwama mwaka flan nikaombaga ex wife anisaidie pesa kiasi nimalize ada ya watoto, imagine, sio pesa ya kufanya biashara zangu aua mambo yangu,akatoa fresh tu.. eeehh bwana eehh!!! Ee bwana eehhh!!!
Kama sio mchungaji ,nabii au mganga wa kienyeji acha kuwaza kula pesa ya mwanamke
 
Namba 17 ni muhimu sana ," usile pesa ya mwanamke " naongezea ambayo haujahusika kwenye upatikanaji wake
Mimi mbona nilikula hela zake alizokuwa anazipata kwenye biashara yake wakati wa uchumba wetu na baadae biashara yenyewe nikamwachisha ili awe home care taker na mpaka Leo tunaenjoy maisha yetu unono tu?.

UJUMBE: Kanuni za kuzifuata kuhusu Ndoa ni zile alizoziweka Muumba wa Ndoa tu. Hizi kanuni zenu ni pata potea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…