Kama umeoa au haujaoa take this

Mkuu,

Sioni ulazima maana wazazi na walezi wetu wangefata uliyoandika basi leo tusingekua hapa. As long as we live once haina haja ya kujaza kila Kanuni hapa duniani other wise Tuoe MAMA ZETU nimetambua sisi wanaume wengi siku hizi hatujiamini kwakua tuna hit wrong target.
 
Hakuna formula moja, kwani unafikiri ndoa ni kama Pai?
 
45 ni Siri kubwa watu hawaijui
 
Naked truth.....tatizo Gen Z wanapenda sana kushupaza shingo.....huu ushauri wataupita kama wanaaga maiti
 
Huu uzi utengenezewe kitabu cha kufundishia wanaume
 
Kuna baadhi ya mambo flani nilipoacha kuwashirikisha dada na maza yakaanza kunyooka. Na ni watu ambao kikawaida ni wazuri hawana shida wamenisaidia vingi nilipopitia divorce issue na nikawa nawamini sana. Ila kuna time rohoni nikashtuka na kuacha kuwaambia baadhi ya issues zangu nikaanza kuona mambo yanatulia na issue zangu zinaenda poa kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…