Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Ukisha disco huwezi kuendelea na masomo chuo hicho kwa wakati huo huo, tena kama ulikua unafadhiliwa na HESLB ndo inakua noma zaidi maana hata ukiomba next year kupata mkopo ni ndoto.Below GPA
Practical peke yake haiwezi kumfanya mtu apewe DISCO, the fact huyo amefail masomo yote au almost yote, kiasi kwamba s/he dont qualify hata kufanya supplementary ,the best option as you have been advised kama ada ipo akaombe chuo kingine apige degree yake fresh tu, Ila Mkopo wa uncle Magu asahauKesi yenyewe alikuwa practical ambako alikuwa unfairly discontinued na academic results zikaja with below GPA. Sasa ana appeal practical judgement
Aliaply kwingine wamemwambia wanataka both academic and practical references, amekonda hapo nani anataka madisco?Navyofaham vyuo vingi ni Either akae mwaka mmoja au miwili kurudia same course same 2nd year , au akaanze kwingine.
pole sana hiv huwa ni ligi kwa baadhi ya walimu kumwaga sapu ama maana kudisko kuna mpotezea sana mwanafunzi ...Kimoja
Hii disco inatenguka,very simple.Kesi yenyewe alikuwa practical ambako alikuwa unfairly discontinued na academic results zikaja with below GPA. Sasa ana appeal practical judgement
Asante sana mkuuHii disco inatenguka,very simple.
Anatakiwa aapeal immediately na asimamie hiyo practical judgement..
Ahakikishe katika barua yake ana adress wafuatao
Vice counselor
Chairman of senate
Deputy academic and research
Dean of students
College principal
Dean of academics
Head of department
Course director.
Kwahiyo barua yake iwe na adress nane,na awe very seriuos ataiondoa ataitengua hiyo disco.
Note,mimi nilitengua discontinues from studies two times on the same university,sikurudia mwaka hata mmoja.
Halafu mwambie asome vizuri examination regulations na prospectus chuo chake,ile ndo ina siri ya kutengua disco.
His practice was stopped four weeks b4 finishing time it looks like there were dome sort of communication between academic team and placement because that happened immediately after results bn releasedHii disco inatenguka,very simple.
Anatakiwa aapeal immediately na asimamie hiyo practical judgement..
Ahakikishe katika barua yake ana adress wafuatao
Vice counselor
Chairman of senate
Deputy academic and research
Dean of students
College principal
Dean of academics
Head of department
Course director.
Kwahiyo barua yake iwe na adress nane,na awe very seriuos ataiondoa ataitengua hiyo disco.
Note,mimi nilitengua discontinues from studies two times on the same university,sikurudia mwaka hata mmoja.
Halafu mwambie asome vizuri examination regulations na prospectus chuo chake,ile ndo ina siri ya kutengua disco.
Ok ila kuna jamaangu alishawahi disco akaongea na walimu wawili akakata rufaa matokeo yakabadilishwa course 2 so akarudi fanya supp. mengine aka carry alifanikiwa ku graduate.Nimegundua system za nchi nyingine ni tofauti
Anasema mwaka wao watu wamefeli sana supp ni nyingi mno ila anasimamia a kuondolewa kwenye practical wiki nne kabla ya madaOk ila kuna jamaangu alishawahi disco akaongea na walimu wawili akakata rufaa matokeo yakabadilishwa course 2 so akarudi fanya supp. mengine aka carry alifanikiwa ku graduate.
Siyo kuanza upya,mbona unakua mwepesi wa ku give upHawez kurudia mwaka ila anachoweza kufanya ni kutuma maombi ya kuanza chuo upya