Kama umechoka kwanini usiondoke hapo?

Kama umechoka kwanini usiondoke hapo?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,650
Reaction score
81,555
Huyu ananipigia simu kuwa kipigo kimemchosha, ajabu hataki kuondoka hapo kwa mmewe sijui labda anauogopa mtaa?

Umasikini unatisha sana, kijana kataa ndoa. Huyu mdomo wake na gubu ndiyo vinamponza, sasa mkisikia break news kuhusu mwanamke aliyetolewa meno mjue ni  huyu ndugu yangu ambaye alimkataa kijana mpole kisa ni masikini akakimbilia kwa mwenye pesa.

Ajabu mpaka muda huu hana meno, ni juzi tu nilimpa 56k aweke meno mawili ya bandia mbele.

IMG_20230118_052224_569.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom