Kama umechaguliwa Ndanda Boys soma hapa

Kama umechaguliwa Ndanda Boys soma hapa

Ache udanganyifu mbona watu wamefauli vizuri tu.....Wengi walingia NDANDA 2008-2010 kwa TAHSUSI ya EGM walijiunga vyuo vikuu kwa div 1 na 2..... na waliyohama Ndanda walivuna mabua
 
Vichwa muhimu... Pale kuna babu anaitwa mkalawile... Wale wa kiswahili watakutana nae huyu
Mkalawile? Huyu mbona nilisikia alitangulia. Huyu mimi namkumbuka mwalimu wa Kiswahili alikua kutoka Ndanda hapo ndo kwao. Lakini enzi hizo alikua anagundisha sisi pale Mtwara Tech ila ni muda sana yaani 1995. Sasa nilisikia alihamia kibaha mapema miaka ya 2000,lakini nikasikia tetesi ya kuwa alitangulia. Labda ni yeye au majina tu yamefanan!
 
Mkalawile? Huyu mbona nilisikia alitangulia. Huyu mimi namkumbuka mwalimu wa Kiswahili alikua kutoka Ndanda hapo ndo kwao. Lakini enzi hizo alikua anagundisha sisi pale Mtwara ila ni muda sana yaani 1995. Sasa nilisikia alihamia kibaha mapema miaka ya 2000,lakini nikasikia tetesi ya kuwa alitangulia. Labda ni yeye au majina tu yamefanan!
Hadi mwaka 2013 mkalawile alikuwa ndanda mkuu
 
Mkalawile? Huyu mbona nilisikia alitangulia. Huyu mimi namkumbuka mwalimu wa Kiswahili alikua kutoka Ndanda hapo ndo kwao. Lakini enzi hizo alikua anagundisha sisi pale Mtwara ila ni muda sana yaani 1995. Sasa nilisikia alihamia kibaha mapema miaka ya 2000,lakini nikasikia tetesi ya kuwa alitangulia. Labda ni yeye au majina tu yamefanan!
Majina labda mkuu... Mimi nimemaliza Ndanda 2011.. Mkalawile alikuwepo juz juz tu mwaka 2015 nilifuata chet alikuwepo mkuu...
 
Mkuu namalizia....Naaaaaa walimuuuuu wetuuuuuu wadumuuuuu milele....nasi wanafunzi tufanikiwa ktk malengo yetu.......Hapo lulikila ama marehemu Sowani anakuja kutoka ofisin lazima SAUTI ipande juu kuonesha tuko busy na wimbo
 
Hilo jibo la ndanda lilikuwa la kibabe kinoma.... Vilembwe na vilembwekeze
 
Mr.Morega Mongate Mwalimu ambaye sitokuja kumsahau ktk maisha yangu tumefanya migomo Mara Secondary toka fomu 1-4 karibu 15 kwa ajili ya kumuua jamaa na hatujampata .akili za kianafunzi ni za hvyo kweli
 
Wameacha kula mbaazi sikuhizi? Maana wakati nasoma Tosamaganga tulikuwa tunapokea wahamiaji kibao kutoka Ndanda
 
Mpaka leo ndanda haibadiliki.

Bora Mzumbe,Ilboru,Kibaha,Old Moshi,uru seminary,Galanos,Tanga tech lakini si ndanda,
 
NDANDA BOYS 2011-2013
Tulianza na sowani then Morega Mongate simon a.k.a double ...R.i.p David Sowani..Mwl mpemba......

wap shelaton(form5)...wap (kilimanjaro form6)

daah lkzo hii inabd nikachukue cheti changu
 
Inaitwa NDABO jina lingine. Naona Siku za kula wali zimepungua enzi zetu dah ilikuwa poua sana kati ya 2012 _2010.
 
Back
Top Bottom