Kama ulizaliwa baada ya 1995 mambo haya yalikupita

Daah kitambo sana
Wale mliozaliwa miaka ya 1995 kurudi nyuma mnayakumbuka haya?
1. Kung'oa jino kwa kutumia Uzi
2. Kupamba kadi na pamba sebuleni
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Ukumbi wa starehe kupambwa kwa toilet paper
5. Kunyolewa kwa mkasi
6. Kufunga hela kwenye leso au pindo la kanga
7. Wavulana kuvaa nguo ya ndani ya aina moja (VIP) usiombe ikakatika utakuta imebana kifua
8.Kurewind kanda kwa peni
9. Nchi nzima kuangalia movie ya komando John, double impact, Rambo na Blue three.....
10. Watoto wote wa mtaa mmoja kufahamiana kwa sababu ya kucheza kombolela na kibaba baba...
11. Kukata ndala kuwa mfutio
12. Kunyolewa msalaba ukiwa na nywele ndefu
13.Shati la shule kuweka vibox mgongoni
14. Kuchomolea shati nyuma
15. Kuweka shati la shule blue
16. Kusimamisha kola ndio ubitozi/usela
17. Ukimuandikia barua kwa umpendaye lazima uchore moyo na mkuki na lazima upulizie pafyumu ya "Yu"
18. Hata kama mligombana January unaambiwa subiri shule ifunge.

Je wewe unakumbuka kipi?
Namba 11 ndio nilikuwa Fundi Wa kuchonga vifutio na kuiba ndara za watu
 
Uhenga uhengani
20190625_131707.jpeg
20190625_131653.jpeg
20190625_115737.jpeg
 
We unazungumzia Komandoo John wenzio tulikuwa taunaangalia sinema kwa mchungaji wetu ...ila Picha Mgando...hata sielewi ilikuwa ni sinema au projector ...RIP Mchungaji Petro Elia!
 
Mtumishi naomba ni-zoom vitu vizuri, mimi hapo tu wala sina tatizo na sitaki vingine


mtumishi usinaharibie ahadi yangu mwenzako jaman..nqptia kipindi kizito mnooo km zege la jioni..nan kiu na maji sina🙆🙆🙆🤗🤗🤗
 
hahahahaa hii kali...hii ndo naiskia kwako hahahaha...mienakumbuka shule weknd matron anawawekea mikanda ya mafundisho..mfano ya ukimwi..au mkanda wa Yesu..hahhaha...mkanda wa Yesu had ĺ eo nikiuskia sehem neno linalofuata nalijua ..yaa niliushika balaa...doh .
😂😂sauti za mafarisayo,ila waliotafsiri kwa kiswahili waliua.
 
Back
Top Bottom