Kama ulizaliwa baada ya 1995 mambo haya yalikupita

Ni nini tena mtumishi, kipindi kizito kama zege la jioni?hiyo statement imenichekesha, pole sana..mapito tu hayo!!!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ubavu wangu niko naye mbali shem..haahhaa engine inachemsha mbayaaa๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰โœŒ
 
Wale mliozaliwa miaka ya 1995 kurudi nyuma mnayakumbuka haya?
1. Kung'oa jino kwa kutumia Uzi
2. Kupamba kadi na pamba sebuleni
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Ukumbi wa starehe kupambwa kwa toilet paper
5. Kunyolewa kwa mkasi
6. Kufunga hela kwenye leso au pindo la kanga
7. Wavulana kuvaa nguo ya ndani ya aina moja (VIP) usiombe ikakatika utakuta imebana kifua
8.Kurewind kanda kwa peni
9. Nchi nzima kuangalia movie ya komando John, double impact, Rambo na Blue three.....
10. Watoto wote wa mtaa mmoja kufahamiana kwa sababu ya kucheza kombolela na kibaba baba...
11. Kukata ndala kuwa mfutio
12. Kunyolewa msalaba ukiwa na nywele ndefu
13.Shati la shule kuweka vibox mgongoni
14. Kuchomolea shati nyuma
15. Kuweka shati la shule blue
16. Kusimamisha kola ndio ubitozi/usela
17. Ukimuandikia barua kwa umpendaye lazima uchore moyo na mkuki na lazima upulizie pafyumu ya "Yu"
18. Hata kama mligombana January unaambiwa subiri shule ifunge.

Je wewe unakumbuka kipi?
2, na 3 sawa vimenipita ila vingine vyote nmeshuhudia na asilimia 90 nmepitia na nmezaliwa baada ya 95.
Utafiti wako ukilenga mkia wa dar sawa ila mikoani kuna mambo mengi hapo bado yanafanyika mkuu.
Labda utupe taarifa utafiti wako umefanyia wapi
 
Wale mliozaliwa miaka ya 1995 kurudi nyuma mnayakumbuka haya?
1. Kung'oa jino kwa kutumia Uzi
2. Kupamba kadi na pamba sebuleni
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Ukumbi wa starehe kupambwa kwa toilet paper
5. Kunyolewa kwa mkasi
6. Kufunga hela kwenye leso au pindo la kanga
7. Wavulana kuvaa nguo ya ndani ya aina moja (VIP) usiombe ikakatika utakuta imebana kifua
8.Kurewind kanda kwa peni
9. Nchi nzima kuangalia movie ya komando John, double impact, Rambo na Blue three.....
10. Watoto wote wa mtaa mmoja kufahamiana kwa sababu ya kucheza kombolela na kibaba baba...
11. Kukata ndala kuwa mfutio
12. Kunyolewa msalaba ukiwa na nywele ndefu
13.Shati la shule kuweka vibox mgongoni
14. Kuchomolea shati nyuma
15. Kuweka shati la shule blue
16. Kusimamisha kola ndio ubitozi/usela
17. Ukimuandikia barua kwa umpendaye lazima uchore moyo na mkuki na lazima upulizie pafyumu ya "Yu"
18. Hata kama mligombana January unaambiwa subiri shule ifunge.

Je wewe unakumbuka kipi?
Hapo kwenye perfume ya YU na mafuta yake ya kwenye mkebe umenikumbusha mbali!!!?
 
Namba 10 iheshimiwe... Natamani hata leo nicheze kombolela
 
Back
Top Bottom