Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu, hiyo Siku ilikuwa in full vicheko na kutaniwa nyumbani.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti alivyotimua mbio na mche wa sabuni!!!


[emoji1] [emoji28] [emoji28]

Wabaya hawa watu jamani!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mazingaombwe..iko hivi,wakati mnakubaliana kukuuzia hicho kitu kunakua na mwenzake pembeni anasikilizia na ndio huyu mwenye kanyanga...sasa wakati wewe unatoa pesa..anaweza hata kukuzuga wakati huo anapokea Kwa yule nwenzake kile kitu fake..na Mara nyingi bidhaa inakua kwake mpaka mkubaliane.
 
We haujawahi kutana na teja anakupa simu nzuri bei ya kutupa na unaichukua...?hujawahi?
Nakutana nao mara nyingi tu kkoo msimbazi ila nikiwa mwenyewe sihangaikagi nao nikiwa na na kampan at least wawili huwa tunawanyang'anya
 
Nilipewa buku na baba nikanunue Shati la shule. Nikafika mitumbani nikakuta wale jamaa wa Karata tatu.. Weka hapa unapata, hapa unakosa.
Nikaangaliaaa, nikaona kabisa kete ile pale.
Nikaweka ile buku.
Jamaa wakaanza kunipampu "Dogo ongeza hela ule zaidi"
Nikawaambia sina nyingine. Funua hapo nilipoweka hela yangu.
Kufunua chaliiiii.... Kete ikahamia mwanzo.
Daaah.. Nakumbuka niliporudi nyumbani baba alinichapa sana.
 
Duh utapeli huo ulotapeliwa mbona wakijinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww mjanja sana so hawa walofungiwa kwenye bahasha .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli kuna mazingaombwe aisee, nilikuwa nashangaa na sielewi inakuwaje mtu anatapeliwa na hao watu hadi nilipotapeliwa Mimi.
Hizo ni natural talent walizonazo jamaa
 
Mkuu hizi mipigo zote hazina shahidi wala nani mnakua wawili tu ...na unalizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] sipendi hizo mambo wala siji jaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…